Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

8194 results for Mwandishi Wetu :

  1. PRIME Simba yaandika historia ya kibabe Tunisia

    Simba ilipata ushindi huo kwenye Uwanja wa Olympique Hammadi Agrebi, jijini Tunis na kuifanya ifikishe pointi tisa kutokana na mechi nne ilizocheza hadi sasa katika Kundi A na kujiweka pazuri...

  2. SIO ZENGWE: Aziz Ki anavyoudhi, kufurahisha mashabiki

    KUNA wakati kocha wa Real Madrid, Carlo Ancelotti alieleza kuwa matatizo makubwa ya makocha vijana ni pamoja na kujaribu kutoa maelekezo kwa mchezaji wakati akiwa na mpira.

  3. Usky ngumi anazijua na mkwanja pia anao

    BAADA ya pambano la kwanza la Mei mwaka jana kati ya Alexander Usky na Tyson Fury, wawili hawa walirudiana Desemba mwaka huo huo na Fury alipoteza kwa mara ya pili kwenye pambano hilo la raundi 12.

  4. GUARDIOLA: Hii Man City bado sana

    LICHA ya kushinda mechi mbili mfululizo, kocha wa wa Manchester City Pep Guardiola amesema bado timu yake inacheza chini ya kiwango tofauti na vile ambavyo yeye anahitaji.

  5. Liverpool vs Man United kuna mtu atapigwa nyingiii!

    KWENYE karatasi zinaonekana ni pointi tatu nyepesi kabisa kwa Liverpool. Shida ipo uwanjani, litathibitika hilo?

  6. Trent atoa masharti mawili kubaki Anfield

    BEKI wa Liverpool, Trent Alexander-Arnold anahitaji mkataba mrefu pamoja na kukabidhiwa kitambaa cha unahodha ili abaki Anfield.

  7. De Jong ni kama aziita timu kijanja

    STAA wa Barcelona, Frenkie de Jong amefichua kile ambacho kitamfanya ahame kwenye timu hiyo ikiwa ni miaka miwili na nusu imepita tangu alipogoma kujiunga na Manchester United.

  8. Arteta akipata hii timu mtaomba po!

    ARSENAL inaweza kutumia mamilioni ya pesa kwenye usajili wa dirisha hili la Januari na kumfanya kocha Mikel Arteta kuwa na kikosi kipya kabisa cha kwanza itakapofika mwishoni mwa mwezi huu.

  9. Mpeni hawa wanne Amorim atakuwa moto

    MANCHESTER United imeingia kwenye Mwaka Mpya wa 2025 ikitokea kwenye vichapo vinne mfululizo na kumfanya kocha Ruben Amorim afahamu ni aina gani ya timu aliyoamua kujiunga nayo na mtihani mzito...

  10. Rashford awachanganya Wasaudia, wampa ofa nono

    MSHAMBULIAJI wa Manchester United na England, Marcus Rashford, 27, ameripotiwa kukataa ofa tatu kutoka Saudi Arabia ambako timu kibao zimeonyesha nia ya kutaka kumsajili.

Previous

Page 580 of 820

Next