Mastaa hawa Man United wanauzwa HABARI ndo hiyo. Manchester United imeripotiwa sasa imefungua milango ya kupokea ofa zote za kumhusu mchezaji yeyote kwenye kikosi chao – ikiwamo wale watatu ambao awali walitajwa kwamba...
SIO KINYONGE: Hawa wamehusika kwenye mabao mengi mwaka 2024 WASHAMBULIAJI wengi wanapenda kufunga ingawa kuna wakati pia huwa wanajikita katika kusaidia wachezaji wenzao kufanya hivyo.
Man United kuvunja benki kusaka washambuliaji RUBEN Amorim atalazimika kuvunja benki kupata washambuliaji wenye uwezo wa kufunga mabao wakakipige Old Trafford.
Mmesikia? Mainoo katua kwenye rada za Chelsea CHELSEA inadaiwa kuwa katika harakati za kutaka kumsajili kiungo wa Manchester United, Kobbie Mainoo ambaye mazungumzo yake na mabosi wa Man United juu ya mkataba mpya yanadaiwa kukwama.
Zlatan atia tiki usajili wa Rashford Milan MIAMBA ya soka ya Italia, AC Milan inatarajia kukoleza mwendo kwenye mpango wa kunasa saini ya mshambuliaji Marcus Rashford ndani ya mwezi huu, huku staa wa zamani wa kikosi hicho cha Serie A...
Madrid yachomoa kwa Van Dijk REAL Madrid imeripotiwa kwamba imepiga chini mpango wa kumsajili beki wa Liverpool, Virgil van Dijk baada ya wakala wa Mdachi huyo kumtoa ofa kwa wababe hao wa La Liga.
Guardiola amtolea uvivu Grealish Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola amesema haridhishwi na kiwango duni kinachoonyeshwa na Jack Grealish akimtaka abadilike vinginevyo atasotea benchi.
Waingereza pochi nene soka la Ulaya PESA inafanya mambo yanakwenda vizuri. Na kitu hicho kwa namna fulani kinathibitika kuwa ni kweli kwa wanasoka, hasa wale wanaocheza kwenye Ligi Kuu England ambao wamekuwa wakipata mkwanja...
Wanachopaswa kufanya vigogo wa Big Six kwenye dirisha hili la Januari DIRISHA la usajili wa wachezaji la Januari limefunguliwa na kuzipa klabu za Ligi Kuu England fursa ya kuboresha vikosi vyao kwa ajili ya duru la pili la msimu. Kwa kawaida, usajili wa dirisha la...
PUMZI YA MOTO: Tutarajie msimu wa Ligi kwisha Julai NAAM Ligi Kuu England imesimama hadi Machi Mosi, 2025. Hii ni kwa sababu ya kupisha Kombe la Mapinduzi, kambi ya timu ya taifa kujiandaa na Chan na mwisho Chan yenyewe.