Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Waingereza pochi nene soka la Ulaya

Muktasari:

  • Kwenye soka kuna wachezaji wanalipwa pesa nyingi sana na kuibua mijadala kama kweli wachezaji hao wanapaswa kulipwa pesa nyingi kuzidi wenzao.

LONDON, ENGLAND: PESA inafanya mambo yanakwenda vizuri. Na kitu hicho kwa namna fulani kinathibitika kuwa ni kweli kwa wanasoka, hasa wale wanaocheza kwenye Ligi Kuu England ambao wamekuwa wakipata mkwanja inaowaacha wengi vinywa wazi kwa wanavyolipwa kila wiki.

Kwenye soka kuna wachezaji wanalipwa pesa nyingi sana na kuibua mijadala kama kweli wachezaji hao wanapaswa kulipwa pesa nyingi kuzidi wenzao.

Wakali kama Harry Kane, Jude Bellingham na Ivan Toney wameshuhudiwa mishahara yao ya wiki ikiwa mikubwa sana tangu walipokwenda kujiunga na timu za Bayern Munich, Real Madrid na Saudi Pro League mtawalia.

Wote hao ni Waingereza. Lakini ni mwanasoka gani Mwingereza anayelipwa mshahara mkubwa kuzidi wote kwa wiki? Kutokana na hilo, hii hapa orodha ya mastaa 25 wa Kingereza, ambao wanalipwa kibosi sana kwa wiki kutokana na huduma wanazotoka kweye klabu zao.

1.Harry Kane (Bayern Munich) - Pauni 404,868 kwa wiki, Pauni 21,053,145 kwa mwaka

2.Jude Bellingham (Real Madrid) - Pauni 337,336 kwa wiki, Pauni 17,541,481 kwa mwaka

3.Ivan Toney (Al-Ahli) - Pauni 327,000 kwa wiki, Pauni 17,004,000 kwa mwaka

4.Raheem Sterling (Arsenal) - Pauni 325,000 kwa wiki, Pauni 16,900,000 kwa mwaka

5.Marcus Rashford (Man United) - Pauni 300,000 kwa wiki, Pauni 15,600,000 kwa mwaka

6.Jack Grealish (Man City) - Pauni 300,000 kwa wiki, Pauni 15,600,000 kwa mwaka

7.Mason Mount (Man United) - Pauni 250,000 kwa wiki, Pauni 13,000,000 kwa mwaka

8.John Stones (Man City) - Pauni 250,000 kwa wiki, Pauni 13,000,000 kwa mwaka

9.Jadon Sancho (Chelsea) - Pauni 250,000 kwa wiki, Pauni 13,000,000 kwa mwaka10.Reece James (Chelsea) - Pauni 250,000 kwa wiki, Pauni 13,000,000 kwa mwaka

11.Declan Rice (Arsenal) - Pauni 240,000 kwa wiki, Pauni 12,480,000 kwa mwaka

12.Phil Foden (Man City) - Pauni 225,000 kwa wiki, Pauni 11,700,000 kwa mwaka

13.Ben Chilwell (Chelsea) - Pauni 200,000 kwa wiki, Pauni 10,400,000 kwa mwaka

14.Conor Gallagher (Atletico Madrid) - Pauni 200,000 kwa wiki, Pauni 10,400,000 kwa mwaka

15.Bukayo Saka (Arsenal) - Pauni 195,000 kwa wiki, Pauni 10,140,000 kwa mwaka

16.Harry Maguire (Man United) - Pauni 190,000 kwa wiki, Pauni 9,880,000 kwa mwaka

17.Trent Alexander-Arnold (Liverpool) - Pauni 180,000 kwa wiki, Pauni 9,360,000 kwa mwaka

18.Kyle Walker (Man City) - Pauni 175,000 kwa wiki, Pauni 9,100,000 kwa mwaka

19.James Maddison (Tottenham) - Pauni 170,000 kwa wiki, Pauni 8,840,000 kwa mwaka

20.Ben White (Arsenal) - Pauni 150,000 kwa wiki, Pauni 7,800,000 kwa mwaka

21.Luke Shaw (Man United) - Pauni 150,000 kwa wiki, Pauni 7,800,000 kwa mwaka

22.Anthony Gordon (Newcastle United) - Pauni 150,000 kwa wiki, Pauni 7,800,000 kwa mwaka

23.Kalvin Phillips (Ipswich Town) - Pauni 150,000 kwa wiki, Pauni 7,800,000 kwa mwaka

24.Lloyd Kelly (Newcastle United) - Pauni 150,000 kwa wiki, Pauni 7,800,000 kwa mwaka

25.Jarrod Bowen (West Ham United) - Pauni 150,000 kwa wiki, Pauni 7,800,000 kwa mwaka