Mitandao kuwainua Watanzania MITANDAO inatajwa kama njia ya kuwainua Watanzania hasa wanapoitumia kwa njia sahihi na wengi wao wameanza kunufaika nayo kutokana na kuuza bidhaa, kutangaza biashara, wanaonunua na kushiriki...
Liverpool yaamua kuachana na Marc Guehi MABOSI wa Liverpool wamefikia makubaliano hawatowasilisha ofa yoyote ili kumsajili beki wa kati wa Crystal Palace, Marc Guehi, 25, dirisha dogo la usajili la Januari na badala yake watasubiri...
Vigogo wapambana Grealish asalie mazima Everton EVERTON inatamani kumsainisha mkataba wa moja kwa moja staa wa Manchester City anayecheza kwa mkopo katika timu yao, Jack Grealish ifikapo mwisho wa msimu huu.
Konate akataa Liverpool, aisubiria Real Madrid BEKI kisiki wa Liverpool na timu ya taifa ya Ufaransa mwenye umri wa miaka 26, Ibrahima Konate, ameamua kutosaini mkataba mpya wa kuendelea kusalia Anfield baada ya mkataba wake kumalizika mwisho...
Arsenal wana jambo lao... Acha wapinzani waone wivu! KOCHA wa Arsenal, Mikel Arteta amekusanya safu matata ya ushambuliaji inayofanya wapinzani wao kwenye Ligi Kuu England waone wivu, wakitamani wachezaji hao wawepo kwenye vikosi vyao.
Pierluigi Collina: Mstaafu anayezidi kupiga pesa PIERLUIGI Collina ni mojawapo ya nyuso zinazotambulika sana katika soka la kimataifa.
Mtoko mpya Arsenal moto ARSENAL itakuwa na mwonekano mpya kabisa kwenye kikosi chao cha kwanza msimu ujao endapo kama kocha Mikel Arteta atawapata wachezaji anaowataka dirisha lijalo la majira ya kiangazi.
Jorginho wa Arsenal anukia Flamengo Brazil KIUNGO wa Arsenal na Italia, Jorge Luiz Frello Filho maarufu Jorginho, 33, yupo katika hatua za mwisho kufikia makubaliano na timu ya Flamengo inayoshiriki Ligi Kuu Brazil kwa ajili ya kujiunga...
Arsenal yapanga kukata rufaa LONDON, ENGLAND: KOCHA wa Arsenal, Mikel Arteta amesema timu hiyo itakata rufaa juu ya kadi nyekundu ya beki wao Myles Lewis-Skelly aliyoonyeshwa katika mchezo dhidi ya Wolves ikiwa FA...
Guardiola bado anamtamani Florian Wirtz KOCHA wa Manchester City, Pep Guardiola bado anahitaji saini ya kiungo wa Bayer Leverkusen na Ujerumani, Florian Wirtz, 21, katika dirisha lijalo la majira ya kiangazi baada ya kushindwa kufanya...