Sikia! Al Nassr yaendelea kukomaa dili la Casemiro KLABU ya Al Nassr ya Saudi Arabia inataka kumsajili kiungo wa kati wa Manchester United, Casemiro, ambaye mkataba wake na Mashetani Wekundu unamalizika mwishoni mwa msimu huu.
Tusker yaianza msimu mpya kwa kipigo cha 2-0, kocha awa mbogo Pazia la msimu mpya wa Ligi Kuu ya Soka ya Kenya (FKF) 2025/26 limefunguliwa rasmi, kwa mabingwa wa zamani Tusker FC, waliomaliza msimu uliopita katika nafasi ya nne, walianza kampeni kwa...
CYCLE BALL: Mchezo wa mpira unaotumia baiskeli PENGINE umezoea kuona mpira wa miguu ukichezwa kwa kutumia miguu, lakini vipi kuhusu hii ya mchezo wa mpira ambao wachezaji hawaupigi kwa miguu bali baiskeli pekee?
Rodrygo aeleza simu moja tu ilivyoua dili lake Barcelona Kwa mara ya kwanza, winga wa Real Madrid, Rodrygo Silva de Goes amefichua siri yake ya kukaribia kusajiliwa na FC Barcelona, akitokea nyumbani kwao Barazil alipokuwa akiitumikia klabu ya Santos.
Arsenal kusikilizia ofa za Trossard, Gabriel Jesus ARSENAL ipo tayari kupokea ofa za kuwauza mastaa wake akiwamo mshambuliaji wa kimataifa wa Brazil, Gabriel Jesus, 28 (pichani) na winga wa Ubelgiji, Leandro Trossard, 30, katika dirisha lijalo la...
Arsenal yakaribia kuwapa mikataba Saliba, Saka ARSENAL ipo katika hatua za mwisho kwenye mazungumzo yake ya kuwaongeza mikataba, Bukayo Saka na William Saliba, wenye umri wa miaka 24 kila mmoja.
Vigogo wa Liverpool wampigia hesabu Olise LIVERPOOL imepanga kutumia takriban Pauni 80 milioni kwa ajili ya kumsajili winga wa Bayern Munich na timu ya taifa ya Ufaransa, Michael Olise katika dirisha lijalo la majira ya kiangazi.
Man United kuna kitu “NYAKATI nzuri zinakuja.” Hiyo ilikuwa ahadi ya kocha wa Manchester United, Ruben Amorim baada ya kumalizika kwa msimu uliopita Mei, mwaka huu.
Mmesikia!? Bruno yupo tayari kuondoka Manchester United KIUNGO mshambuliaji wa Manchester United, Bruno Fernandes, 30, ambaye amekataa ofa tatu kutoka kwa timu za Saudi Arabia zilizohitaji kumsajili kaitka dirisha lililopita la majira ya kiangazi...