Martinez: tuwasaidie Hojlund, Zirkzee BEKI wa kati wa Manchester United, Lisandro Martinez amewaambia wachezaji wenzake waache kuwapigia mipira mirefu mastraika wao.
Namba za Fermin Lopez hazijawahi kudanganya 2+2- FERMIN Lopez ndiye mchezaji wa kwanza wa Barcelona kufunga mabao mawili na kutoa asisti mbili za mabao katika mechi ya LaLiga tangu Lionel Messi alivyofanya hivyo mwezi Oktoba 2019 dhidi ya...
MO SALAH! Kuna kitu anafundisha EPL SUPASTAA Mohamed Salah amebakiza miezi isiyozidi sita kwenye mkataba wake wa sasa huko Liverpool.
Cheki bili za klabu za EPL zinavyolipa mastaa wake kwa mwaka MABINGWA wa Ligi Kuu England, Manchester City ndiyo wanaotumia pesa nyingi kulipa mishahara kuliko nyingine zote ze ligi.
HAKUNA KULALA: Mechi za kutolea macho Ligi ya Mabingwa Ulaya ALIYEPATA kapata na aliyekosa kakosa. Ndicho unachoweza kusema juu ya mfumo mpya wa Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu huu na kwa kesho Jumatano zitapigwa mechi za mwisho za hatua ya makundi inayocheza...
Siku ya kwanza kazini halafu ni mbaya SIKU yako ya kwanza kazini na kisha mambo yanakwenda kombo ni jambo litakalobaki kwenye kumbukumbu zako maisha yote. Kitu hicho, muulize staa mpya wa Manchester City, Abdukodir Khusanov, ambaye...
Spurs yaweka rekodi mbovu TOTTENHAM Hotspur imevunja rekodi ya hovyo zaidi iliyodumu kwa zaidi ya muongo mmoja baada ya kuchapwa na Leicester City kwenye Ligi Kuu England.
Newcastle kufanya ujanja Isak abaki NEWCASTLE United inajiandaa kumpa dili tamu straika Alexander Isak ili kukata ngebe za timu zinazohitaji saini yake ikiwamo Arsenal, imeelezwa.
Mabosi Madrid macho kodo kwa kiungo Enzo REAL Madrid imepanga kufanya usajili wa kushtua wa kuvamia kwenye kambi ya Chelsea kwenda kunasa saini ya kiungo Enzo Fernandez, imeelezwa.
Refa wa Arsenal atumiwa meseji mbaya, zachunguzwa POLISI imeanzisha uchunguzi baada ya mwamuzi wa soka Michael Oliver kutumiwa meseji za vitisho.