Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

8993 results for Mwandishi :

  1. Mwakinyo aporomoka Afrika, kumaliza kifungo Oktoba 18

    Wakati Bodi ya Kusimamia Ngumi za Kulipwa Nchini Uingereza (BBBC) ikitaja Oktoba 18 itakuwa siku mwisho ya kifungo cha Hassan Mwakinyo kutocheza ngumi nchini humo, bondia huyo namba moja nchini...

  2. Sababu za Chikwende kurejeshwa Zimbabwe zatajwa

    BENCHI la ufundi la Simba limemrudisha Zimbabwe kiungo mshambiliaji wa timu hiyo, Perfect Chikwende kwa ajili kushiriki michuano ya COSAFA inayotarajiwa kuanza Julai 6 mpaka Julai 18 mwaka...

  3. Straika Simba ajichomoa kambini

    WIKI moja kabla ya fainali ya Kombe la Shirikisho (ASFC) dhidi ya Yanga itakayopigwa Julai 25, kambi ya Simba imeanza kumeguka baada ya mshambuliaji wao, Ibrahim Ajibu kuamua kujichomoa jumla...

  4. Ndemla amechukua uamuzi wa miaka miwili nyuma

    SAIDI Ndemla amekwenda kwa mkopo katika klabu ya Mtibwa Sugar akitokea Simba. Ni uamuzi ambao alipaswa kuufanya miaka miwili nyuma. Pengine sasa hivi angekuwa anasajiliwa na klabu moja kubwa...

  5. Namungo, Mashujaa kazi ipo

    LIGI Kuu Bara inaendelea tena leo zikipigwa mechi mbili za raundi ya nne, wakati jioni Geita Gold itaialika KMC kwenye Uwanja wa Nyankumbu, mjini Geita, huku Namungo ikijitafuta mbele ya Mashujaa...

  6. 24 waingia Bingwa msimu wa pili, kukaa wiki 11

    Dar es Salaam. Vijana 24 wenye ushawishi mtandaoni rasmi wameingia kwenye kinyang'anyiro cha kumpata mshindi wa kipindi cha Bingwa msimu wa pili ambapo watakaa kwenye nyumba maalum kwa siku...

  7. PRIME Maxi apewa Azam FC, Onana kuanza na Singida

    MKWAKWANI Tanga patachimbika wakati mechi nne za Ngao ya Jamii zitakapaopigwa kuanzia Agosti 9 hadi 13, ambapo mashabiki wa Simba, Yanga, Azam na Singida Big Stars wataanza kuziona mashinie mpya...

  8. Julio, Chambua kusaka vipaji mikoa minne

    WACHEZAJI wa zamani, Jamhuri Kihwelo, Sekilejo Chambua wamepewa kazi ya kusaka vipaji katika mikoa minne kwa lengo la kuunda kikosi cha wachezaji 22. Zoezi la utafutaji wa wachezaji hao wenye...

  9. Mastaa Simba, Yanga presha tupu!

    ZIMEBAKI siku sita tu kabla ya Simba na Yanga kuvaana katika mchezo wao wa 106 wa Ligi ya Bara, huku presha ikianza kuwapanda mastaa wa zamani wa timu hizo ambao wameshindwa kujizuia na kuanza...

  10. Hizi mashine zikitua Yanga wamekwisha

    YANGA wanakiri kwamba eneo kubwa lililowaangusha msimu huu kuhusu ubora wa timu yao basi ni eneo la ushambuliaji na sasa kuna mastraika watano kati ya hao wanataka wawili kuingia ndani, ili kuvaa...

Previous

Page 568 of 900

Next