Slot: Salah ni Cristiano Ronaldo mtupu AKIWA na umri wa miaka 32 kwa sasa, staa wa Liverpool, Mohamed Salah au King Salah kama anavyoitwa na mashabiki wake, amemkosha sana kocha wake Arne Slot ambaye anadai utimamu wa mwili wa fundi...
Rashford bado ana jambo Nou Camp MSHAMBULIAJI wa Manchester United anayecheza kwa mkopo Aston Villa, bado hajakata tamaa kuhusu ndoto yake ya kuhamia Barcelona licha ya mkurugenzi wa michezo wa klabu hiyo, Deco, kusema wiki hii...
Diaz, Salah waipa ushindi Liverpool Liverpool imeendelea kuonyesha ubabe wake kwenye Ligi Kuu England baada ya kuichapa Wolves mabao 2-1 kwenye mechi iliyopigwa Uwanja wa Anfield.
Amorim: Mastaa Man United walaumiwe KOCHA wa Manchester United, Ruben Amorim amesema wachezaji wa Manchester United ndio wanapaswa kulaumiwa na kuwajibika kwa hali inayoendelea ya kufukuzwa kwa wafanyakazi wa timu hiyo.
Haya sasa... Arteta amepata dawa KOCHA wa Arsenal, Mikel Arteta amekiri anaweza kufanya uamuzi mkubwa juu ya nani atachukua nafasi ya Kai Havertz katika safu yao ya ushambuliaji.
Kounde wa Barcelona aingia anga za Chelsea CHELSEA ipo tayari kulipa Pauni 83 milioni kwenda Barcelona ili kuipata saini ya beki kisiki wa timu hiyo na timu ya taifa ya Ufaransa, Jules Kounde, 26, katika dirisha lijalo la majira ya kiangazi.
Nicolas Jackson aingia anga za Atletico ATLETICO Madrid inataka kutuma ofa kwenda Chelsea katika dirisha lijalo la majira ya kiangazi ili kuipata saini ya mshambuliaji wa timu hiyo na Senegal, Nicolas Jackson, 23.
Curry, Ayesha wakaribisha NBA All-Star kitaa KWA familia ya nyota wa Golden State Warriors, Stephen Curry, wikendi hii tangu juzi, Ijumaa ni mwendo wa pati tu na kutoa michango yao kwa jamii. Unaambiwa watu walikuwa wakinywa, kula na kusaza.
Man City kukatwa pointi 100! BALAA hilo. Manchester City imeonywa kwamba huenda ikakumbana na adhabu ya kupokwa pointi hadi 100 endapo kama itakuwa na hatia ya kukiuka matumizi kwenye Ligi Kuu England.
Wasaudia wamkomalia Vinicius Jr REAL Madrid inakabiliwa na kazi ngumu ya kuwadhibiti mabosi wa Saudi Arabia kwenye mpango wa kuvamia Bernabeu kwenda kung’oa huduma ya winga wa Kibrazili Vinicius Jr.