Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

8186 results for Mwandishi Wetu :

  1. Man United yaweka mambo hadharani kuhusu Ten Hag

    MANCHESTER UNITED imefichua ni kiasi gani ilichotumia kama fidia ya kumfukuza Erik ten Hag na Dan Ashworth huku deni lao likifikia Pauni 1 bilioni.

  2. Siri yafichuka sababu Haaland kuwekwa nje dhidi ya Madrid

    IMEFICHUKA Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola alimweka nje straika wake Erling Haaland katika mechi ya mtoano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Real Madrid

  3. Carragher anasema Salah kapewa ofa

    JAMIE Carragher amefichua kwamba Liverpool tayari imeshampa ofa ya mkataba mpya Mohamed Salah.

  4. Messi vs Ronaldo muulize Casemiro

    KIUNGO Casemiro amesema Lionel Messi ni bora kumzidi Cristiano Ronaldo, licha ya Mbrazili huyo kucheza pamoja na CR7 kwenye timu mbili tofauti, Real Madrid na Manchester United.

  5. Madrid v Man City kuna mtu atapata aibu

    MWISHO wa ubishi wote ni usiku wa leo, juu ya swali la timu gani itapenya kwenda mtoano wa hatua ya 16 Bora katika Ligi ya Mabingwa Ulaya kati ya Real Madrid na Manchester City.

  6. Vigogo Man United bado wanajikongoja kwa Delap

    MANCHESTER United inapambana kuhakikisha inaipata saini ya mshambuliaji wa Ipswich Town na England, Liam Delap katika dirisha lijalo la majira ya kiangazi licha ya kumuweka katika rada zao Victor...

  7. Ukiwataka hawa hata Pauni 70M haifiki

    LIVERPOOL, Manchester United na Arsenal zinasubiri dirisha lijalo la majira ya kiangazi kwa mitazamo tofauti, lakini ukweli hakuna timu itafumbia macho dili la kunasa mchezaji wa maana kwa bei...

  8. Rekodi za Amorim zashtua Man United

    HAKUNA kocha wa Manchester United aliyevuna pointi chache kumzidi Ruben Amorim baada ya mechi 14 za Ligi Kuu England tangu Sir Alex Ferguson alipong'atuka kwenye kikosi hicho cha Old Trafford.

  9. Arsenal kumpata Isak ichimbe kwelikweli

    ARSENAL imekwaa kisiki kwenye matumaini yao ya kumfanya Alexander Isak kuwa Namba 9 wao mpya.

  10. Manchester United yaangukia kwa Osimhen

    MANCHESTER United inapambana kuhakikisha straika wa Napoli na Nigeria, Victor Osimhen anayecheza kwa mkopo Galatasaray anatua katika kikosi chao msimu ujao, lakini changamoto inayoweka dili hilo...

Previous

Page 552 of 819

Next