Liverpool tano za Slot akikamilisha usajili wake LIVERPOOL huenda ikawa na sura mpya kabisa kwenye safu ya ushambuliaji baada ya kudaiwa kuwa na mkwanja wa Pauni 300 milioni wa kufanya usajili kwenye dirisha hili la majira ya kiangazi.
Messi ashindwa kutamba kwa Al Ahly Kombe la Dunia la Klabu Inter Miami ya Lionel Messi wa imelazimishwa suluhu na Al Ahly ya Misri katika michuano ya Kombe la Dunia la Klabu.
PRIME Wagombea waanza kulia uchaguzi TFF SAA 24 kabla ya kufungwa kwa zoezi la kuchukua na kurudia fomu za Uchaguzi Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), baadhi ya wagombea waliojitosa katika kinyang'anyiro hicho wameanza kulia kwa...
UKIZUBAA UMELIWA: Mamelodi, Inter Milan, Dortmund zarusha kete muhimu Kombe la Dunia HUKO kwenye fainali za Kombe la Dunia la Klabu mambo yamezidi kunoga.
Aje Sesko, Gyokeres Arsenal ARSENAL inapambana kusaka kitu kinachokosekana kwenye kikosi chake, inasaka straika wa mabao ili kupiga hatua ya juu zaidi misimu mitatu iliyopita ambapo iliishia kumaliza kwenye nafasi ya pili...
PRIME Kisa dabi, kikao kizito Yanga WABABE wa soka la Bongo, Simba na Yanga wanakutana kesho katika mechi ya Dabi ya Kariakoo ambayo imetawaliwa na mambo kibao na ambayo imekuwa ikitembea kwa muda mrefu na kaulimbiu moja kwa muda...
Wanapojifua mastaa Man United usipime MATHEUS Cunha amechagua mwenyewe kwenda Manchester United. Bryan Mbeumo ametaka mwenyewe kutua Man United. Benjamin Sesko amechagua pia kutua kwa miamba hiyo ya Old Trafford, sawa na...
LeBron, Doncic kugeuza kibao Lakers? KWA miongo sita iliyopita, Los Angeles Lakers wamekuwa moja ya timu za hadhi ya juu katika Ligi ya NBA, wakijivunia historia ya mataji 17 na mastaa wa enzi za dhahabu kama Kareem Abdul-Jabbar...
Arteta atangaza jeshi lake Ligi ya Mabingwa Ulaya KOCHA wa Arsenal, Mikel Arteta amempiga chini Gabriel Jesus kwenye kikosi cha timu yake kitakachoshiriki mikikimikiki ya Ligi ya Mabingwa Ulaya katika hatua ya ligi msimu huu.
PRIME Assinki kwenye mtego mzito Yanga Beki wa kati Frank Assinki wiki iliyopita alitangazwa mchezaji mpya wa Yanga akijiunga na timu hiyo kutokea Singida Black Stars kwa mkataba wa mwaka mmoja, hata hivyo ana kazi kubwa ya kufanya...