Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

8978 results for Mwandishi :

  1. Galatasaray yajipanga kumsajili Lionel Messi

    NANI ambaye hataki aje kwenye timu yake? Nani huyo asiyemtaka Lionel Messi kwenye timu anayoshabikia? Messi atabaki kuwa Messi bila kujali wakati.

    MESSI Pict
  2. Timu Zetu Zijipange, Hakuna Mechi Rahisi CAF

    DROO ya makundi ya michuano ya Klabu Bingwa Afrika na Kombe la Shirikisho Afrika kwa msimu wa 2025/26 imetoa taswira wazi kwamba safari ya timu zetu za Tanzania haitakuwa rahisi hata kidogo.

    CAF Pict
  3. Rooney amchana Salah, ampa ushauri Slot

    Mshambuliaji wa zamani wa Manchester United, Wayne Rooney amemvaa nyota wa Liverpool, Mohamed Salah akisema mchango wake kwa sasa umekuwa mdogo wakati huu ambao timu hiyo inapitia kipindi kigumu.

  4. Paul Scholes awakataa Caicedo, Rice, akomaa na Sandro Tonali

    Wiki iliyopita gwiji wa Manchester United, Paul Scholes alimsifu Sandro Tonali kama kiungo bora zaidi katika Ligi Kuu ya England kwa sasa, na kumpa nafasi ya juu zaidi kuliko Moisés Caicedo wa...

  5. Lopez afunga hat trick, Rashford mbili Barca ikipiga mtu sita

    Fermin Lopez amefunga mabao matatu huku Marcus Rashford akiendeleza makali yake kwa kufunga mara mbili, akiifikisha jumla ya mabao manne katika mechi tatu za Ligi ya Mabingwa Ulaya, wakati...

  6. Polisi wajitetea mashabiki Maccabi Tel Aviv kuzuiwa England

    Kamishna Mkuu wa Polisi wa West Midlands, amesema jeshi hilo halijashindwa kumlinda mtu yeyote akitetea uamuzi wa kuwapiga marufuku mashabiki wa Maccabi Tel Aviv kuhudhuria mechi ya Europa League...

  7. Simanzi, kocha afariki kwenye mechi

    MASTAA wa timu moja ya soka huko Serbia hawakuwa na namna zaidi ya kuangua tu vilio na wengine wakilala kwenye nyasi za uwanja baada ya kupewa taarifa kocha wao amefariki dunia wakati mchezo wa...

  8. Mikel Arteta awashusha presha mashabiki Arsenal

    ARSENAL, hakuna matata. Ndicho unachoweza kusema baada ya Kocha Mikel Arteta kuwa na kikosi matata kabisa licha ya mastaa wake kadhaa muhimu kuwa majeruhi.

    ARSENAL Pict
  9. Manchester derby... Wagonjwa Ni wengi!

    MAPUMZIKO ya mechi za kimataifa yanafika ukingoni na sasa mastaa wanarudi kujiunga na timu zao za klabu kwa ajili ya kuendelea na mchakamchaka wa ligi ikiwamo Ligi Kuu England.

    WAGONJWA Pict
  10. Isak wa Liverpool ana balaa

    BAADA ya kuachiwa kwa video ya siku ya mshambuliaji mpya wa Liverpool, Alexander Isak, akifanya mazoezi na timu, mashabiki wengi wamekoshwa na kile ambacho staa huyo amekionyesha kiasi cha baadhi...

Previous

Page 541 of 898

Next