Joao Felix: Saudi inamtajirisha WIKI iliyopita moja kati ya mijadala ilikuwa ni komenti ya Cristiano Ronaldo ambaye aliwajibu watangazaji na wachambuzi wa soka waliokuwa wakikosoa uamuzi wa staa mwenzake wa Ureno, Joao Felix...
Kuondoka Fadlu Simba iwe funzo TATIZO kubwa kwa timu za Tanzania, hasa Simba na Yanga hivi sasa ni kupoteza makocha au wachezaji nyota kutokana na kuvutwa na klabu zenye nguvu kubwa ya kifedha za Afrika Kaskazini. Hali hii si...
Mwigizaji wa tamthilia ya Mpali afariki dunia Muigizaji kwenye tamthilia ya Mpali ya nchini Zambia aitwaye Wanga Zulu maarufu kwa jina la Junza, aliyekuwa akiigiza kama mke mkubwa wa Nguzu, amefariki dunia.
ISHOWSPEED: Shabiki wa Ronaldo anayepiga pesa mtandaoni HIVI karibuni Cristiano Ronaldo alitangazwa kuwa mchezaji wa kwanza anayecheza soka kufikisha utajiri wa Dola 1 bilioni.
Fungua pochi, Glazers wanasubiri ofa zenu TAJIRI ambaye aliwahi kujaribu kuinunua Manchester United, Thomas Zilliacus amefunguka kuwa wamiliki wa timu hiyo, familia ya Glazer, kwa sasa wako tayari kuiuza.
Barcelona yaingia matatani tena KLABU ya Barcelona inachunguzwa kwa madai ya kukwepa kodi zinazohusiana na usajili wa winga wa Kibrazili Malcom mwaka 2018. Inadaiwa klabu hiyo ililipa euro milioni 10 kwa mawakala kwa ajili ya...
Simba, Yanga tembeeni na hasira caf mashabiki SIMBA na Yanga zimeshamalizana katika mchezo wa Ngao ya Jamii uliopigwa Jumanne, wiki hii ukithibitisha kwa mara nyingine ukubwa na heshima ya klabu hizo mbili kongwe Afrika.
Nguvu kubwa sasa tuweke kimataifa! DABI ya Kariakoo imepita, hisia za mashabiki zimetulia, na historia mpya imeandikwa. Yanga SC waliibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Simba SC, ushindi ambao umeendeleza rekodi ya kutawala...
Arsenal, Man City acha tuone shoo ILE siku ndo leo. Baada ya miamba ya soka Arsenal na Manchester City kushinda mechi zao mbili za mwisho za Ligi Kuu England na Ligi ya Mabingwa Ulaya, mashabiki wa timu hizo wamekuwa wakitambiana...