Kisa Arsenal, Gyokeres kupewa adhabu mbili RAIS wa Sporting Lisbon, Frederico Varandas, amethibitisha kuwa mshambuliaji wa timu hiyo Viktor Gyokeres atapewa adhabu mbili kubwa baada ya kugoma kuripoti mazoezini akishinikiza aruhusiwe...
Chelsea yatua kwa Gianluigi Donnarumma KUTOKANA na kiwango kibovu alichoonyesha kipa wao Roberto Sanchez, kocha wa Chelsea amewasilisha jina la kipa wa Paris St-Germain na timu ya taifa ya Italia, Gianluigi Donnarumma, akihitaji...
Ruben Amorim sasa achanganyikiwa KOCHA wa Manchester United, Ruben Amorim kichwa kinauma. Katika dirisha hili Mreno huyo alikuwa na mpango wa kujenga upya kikosi chao kwa kusajili maeneo muhimu kama ushambuliaji, mabeki na...
PRIME Conte anaingia, Chama ndo hivyo tena! YANGA imendelea na hesabu zake za kimafia kusuka kikosi chake na lile dili la kiungo wa shoka Moussa Bala Conte likitiki tu basi, litamng’oa staa wa maana ndani ya kikosi hicho kwa msimu ujao...
Rasmi Juventus yaweka mzigo mezani kwa Sancho JUVENTUS imewasilisha ofa ya pauni 8.65 milioni pamoja na nyongeza kwenda Manchester United ili kumsajili winga wa klabu hiyo na timu ya taifa ya England, Jadon Sancho, katika dirisha hili.
Happy Birthday Lamine Yamal LEO Lamine Yamal anasherehekea siku yake ya kuzaliwa akitimiza umri wa miaka 18, lakini tayari amefanikisha mambo makubwa katika taaluma yake ambayo Lionel Messi na Cristiano Ronaldo hawakuwahi...
Liverpool yatoa ofa ya mwisho LIVERPOOL imeweka mezani ofa ya mwisho ya pauni 40 milioni kwenda Crystal Palace ili kumsajili beki Marc Guehi katika dirisha hili na ripoti zinaeleza haitatoa tena ofa nyingine endapo hiyo...
Mbeumo apenda posti ya mazoezini Man United STAA Bryan Mbeumo amebonyeza kitufe kilichoandikwa 'like' kwenye posti ya beki wa Manchester United, Leny Yoro, aliyoposti huko kwenye Instagram akithibitisha kurejea mazoezini kitu ambacho...
Amorim amrudisha Garnacho kundini KOCHA wa Manchester United, Ruben Amorim amejiweka kwenye hatari ya kutibuana na Marcus Rashford zaidi baada ya kuripotiwa kumruhusu Alejandro Garnacho kufanya mazoezi na wenzake huko Carrington...
Kiungo mpya alia kisa jezi ya Arsenal KIUNGO Christian Norgaard ameangua kilio kwa kushindwa kuamini baada ya kutinga uzi wa Arsenal sambamba na mwanaye wa kiume katika tukio la kupiga picha.