Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

9310 results for Mwandishi Wetu :

  1. Duh! Rashford asiende Barcelona

    GWIJI wa zamani wa Manchester United, Teddy Sheringham amedai kuwa mshambuliaji wa timu hiyo Marcus Rashford “hastahili” kupata uhamisho wa majira haya ya kiangazi kwenda Barcelona.

    RASHFORD Pict
  2. Mashabiki Sporting wamgeukia Gyokeres

    MASHABIKI wa Sporting Lisbon wamepaza sauti zao kuhusiana na mshambuliaji wa timu hiyo, Viktor Gyokeres, ambaye anahusishwa kutaka kuondoka katika dirisha hili.

    MASHABIKI Pict
  3. Real Madrid yapanga kumuuza Vinicius Jr

    REAL Madrid imempanga kumuuza mshambuliaji wao wa kimataifa wa Brazil, Vinicius Jr, katika dirisha hili ikiwa ataendelea kugoma kuongeza mkataba mpya katika dirisha hili.

    TETESI Pict
  4. Usyk, Dubois kumaliza ubishi Wembley

    SIKU zinawadia. Uwanja wa Wembley, jijini London, unatarajiwa kuwa kitovu cha dunia ya ngumi Julai 19, 2025, wakati mabondia wakubwa Oleksandr Usyk na Daniel Dubois watakapoingia ulingoni kwa...

    MASUMBWI Pict
  5. Mbeumo, Manchester United mambo yazidi kuwa magumu

    MPANGO wa Manchester United kumsajili mshambuliaji wa Brentford na timu ya taifa ya Cameroon, Bryan Mbeumo, 25, umesimama kwa muda baada ya timu yake kuongeza bei hadi kufikia Pauni 70 milioni...

    FUNUNU Pict
  6. Manchester City kuacha mastaa kibao

    MANCHESTER City iko tayari kuwaruhusu baadhi ya nyota wake waliowahi kung’ara kuondoka katika dirisha hili la majira ya kiangazi, ikiwamo John Stones na Ilkay Gundogan, ikiwa ni muendelezo wa...

    MASTAA Pict
  7. PRIME Aucho aigomea Yanga, kuibukia huku!

    HAKUNA ubishi mashabiki wa Yanga wanafahamu kuna baadhi ya mashine zilizowapa heshima msimu uliopita kwa kutwaa mataji matano zinaweza kuondoka kwa ajili ya kusukwa upya kwa kikosi kijacho kwa...

    AUCHO Pict
  8. Liverpool, Newcastle United watauana

    LIVERPOOL imetangaza vita dhidi ya Newcastle kwa kutaka kumnyakua Hugo Ekitike kutoka Eintracht Frankfurt katika dirisha hili.

    WATAUANA Pict
  9. Kombe la Dunia lipo ofisini kwa Rais Trump

    RAIS wa Marekani, Donald Trump amefichua kwamba ofisi zake za Oval ndiko lilipo taji la Kombe la Dunia la Klabu limehifadhiwa.

  10. Isaak ni mashine ya hela

    LIVERPOOL ipo tayari kuvunja rekodi ya Uingereza kwenye uhamisho wa wanasoka kwa kumnasa straika wa Newcastle United na Sweden, Alexander Isak.

Previous

Page 527 of 931

Next