Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

8975 results for Mwandishi :

  1. Kai Rooney aanzia alipoishia baba'ke

    KINDA wa Manchester United, Kai Rooney anatarajiwa kuanza kupokea hadi Pauni 3 milioni baada ya kusaini mkataba mpya na kampuni ya Triple S Sports Management wiki hii utakaomwongezea thamani...

  2. Mwamuzi CAS asema Senegal ni mabingwa halali AFCON 2025

    Aliyekuwa mwamuzi wa Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo (CAS), Raymond Hack, ameibuka na kauli nzito inayoweza kubadilisha mwelekeo wa mgogoro wa ubingwa wa Kombe la Mataifa ya Afrika 2025...

  3. Sita watajwa kumrithi Slot Liverpool

    HALI siyo hali Anfield na Kocha Arne Slot amekalia kuti kavu huku baadhi ya majina yakitajwa kuja kurithi mikoba yake kwa kile kinachoelezwa wakati wowote anapigwa chini Liverpool.

  4. TYSON FURY: Ngumi nzito, mkwanja mzito

    USIKU wa juzi Jumamosi, bondia raia wa England, Tyson Fury alipamba sana vichwa vya habari baada ya kumchapa mpinzani wake Arslanbek Makhmudov kutoka Urusi.

  5. Neville: Huyu Carrick anampa somo Amorim

    GARY Neville anaamini kuwa kufufuka kwa Manchester United chini ya Michael Carrick kutamlazimisha Ruben Amorim kufanya mabadiliko atakaporejea tena kwenye ukocha.

  6. Siku ya hukumu, Droo hatua ya 16 UEFA kufanyika leo

    ​​​​​​​MACHO na masikio yote leo yanageuzwa kule kwa jijini Nyon, Uswisi ambako droo ya hatua ya 16 ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya itakuwa inachezeshwa.

  7. Kipa Singida BS atuma ujumbe baada ya kufutiwa tuhuma za upangaji matokeo

    MUDA mfupi baada ya Singida Black Stars kutangaza kumuondolea adhabu ya kumsimamisha kwa kipindi cha miezi mitatu kutokana na tuhuma za upangaji matokeo kipa wa kikosi hicho, Amas Obasogie...

    OBASOGI Pict
  8. Hugo Broos kuandika rekodi binafsi Bafana Bafana

    Kocha wa timu ya taifa ya Afrika Kusini maarufu Bafana Bafana, Hugo Broos, anatarajiwa kuweka rekodi binafsi kwa kufikisha mechi 50 akiwa kocha wa timu hiyo, itakayocheza mechi ya kwanza ya...

    BROOS Pict
  9. Jake Paul, tajiri aliyebondwa na tajiri mwenzake

    WAKATI mwaka huu ukienda kumalizika moja kati ya matukio yaliyotokea Desemba hii ilikuwa ni pambano kati ya Jake Pual na Anthony Joshua lililofanyika kule Marekani.

    ATM Pict
  10. Put awatuma kazi mastaa The Cranes

    KOCHA wa Uganda, Paul Put, amesema wachezaji wake lazima waachane haraka na masikitiko ya mwisho wa wiki na “kurekebisha hali ya kisaikolojia” kuelekea kwenye pambano muhimu la Kundi C dhidi ya...

    PUT Pict
Previous

Page 526 of 898

Next