Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

8964 results for Mwandishi :

  1. Kocha Msumbiji aitega Nigeria kiaina

    KOCHA mkuu wa Msumbiji, Chiquinho Conde, ameonyesha imani kubwa na uwezo wa timu yake kuelekea mechi ya hatua ya 16 bora ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) dhidi ya Nigeria, huku akikubali...

    MSUMBIJI Pict
  2. Carrick, Solskjaer kuunganisha nguvu Man United

    MANCHESTER United inafikiria kuwaajiri kwa pamoja Ole Gunnar Solskjaer na Michael Carrick kama makocha wa mpito.

    MAN UTD Pict
  3. Vita ya namba Jesus, Gyokeres Arsenal

    MASTRAIKA, Gabriel Jesus na Viktor Gyokeres wote waliandikisha majina yao kwenye orodha ya wafungaji katika ushindi wa Arsenal wa mabao 3-1 dhidi ya Inter Milan Jumanne usiku katika mikikimikiki...

  4. Wenger: Arsenal? Inategemea kona tu

    ARSENE Wenger amekiri Arsenal inategemea sana mipira ya kona huku akibainisha mabeki wao walikuwa kwenye hofu na wasiwasi mkubwa wakati wa kipigo cha mabao 3-2 mbele ya Manchester United...

    WENGER Pict
  5. Kocha mpya Chelsea ataka njia za Ferguson

    KOCHA mpya wa Chelsea, Liam Rosenior amesema ni mkubwa sana licha ya baadhi ya watu kubeza kwamba timu ina watoto wengi.

    KOCHA Pict
  6. Ten Hag amerudi nyumbani, akabidhiwa FC Twente

    KOCHA, Erik ten Hag amepata kazi mpya katika soka, miezi minne tu baada ya kufukuzwa huko Bayer Leverkusen.

    TEN Pict
  7. Enzo Maresca, Chelsea lolote linaweza kutokea

    KOCHA wa Chelsea, Enzo Maresca yuko tayari kujiuzulu kuifundisha timu hiyo kufuatia mgogoro mkubwa uliotokea kati yake na bodi ya klabu hiyo.

    MARESCA Pict
  8. Bifu la Scholes, Martinez limefikia patamu balaa

    KUMEKUCHA. Mvutano kati ya Paul Scholes na beki wa Manchester United, Lisandro Martinez hauonekani kumalizika hivi karibuni baada ya gwiji huyo wa Old Trafford kujibu kwa mzaha kupitia mitandao...

  9. Jamie Carragher ataja kumi wenye uhakika England

    JAMIE Carragher amewaacha Cole Palmer na Phil Foden kwenye orodha yake ya wachezaji kumi wa "uhakika" wa timu ya taifa ya England kwa ajili ya fainali za Kombe la Dunia 2026.

    CARRA Pict
  10. Unai Emery afunguka kitu Aston Villa

    KOCHA wa Aston Villa, Unai Emery kwa hasira amesema timu yake haina nafasi ya kumaliza ndani ya tano bora baada ya Thierno Barry kuisababishia kipigo kwenye mchezo wa Ligi Kuu England.

Previous

Page 486 of 897

Next