Man United? Sijui itakuwaje sasa KUTUPWA nje kwa mikwaju ya penalti na Fulham Kombe la FA kuna madhara makubwa kwa Manchester United wakati huu ikipita kwenye majanga makubwa na kujiweka mbali na ndoto za kubeba walau taji moja...
Man United inapiga ndefu kwenda mbele KWENYE soka la mtindo wa kisasa, timu zote bora zinacheza kwa kupanga mashambulizi yake kuanzia nyuma.
Huu Mtihani mkubwa kwa Liverpool MCHEZAJI wa zamani wa Manchester United, Gary Neville amewatahadharisha mabosi wa Liverpool kuwa wanakutana na gharama za kulipa Pauni 250 milioni kwa ajili ya kuboresha kikosi chao ikiwa...
Ken Gold , Pamba ngoma nzito Championship Ligi ya Championship imefikia patamu baada ya jana kupigwa mechi mbili, leo kuna kazi nzito wakati kinara wa msimamo wa ligi hiyo, KenGold itakapoikaribisha Pamba Jiji katika pambano litakalotoa...
Xavi Simons anasakwa Bayern Munich KIUNGO wa Paris St-Germain na Uholanzi Xavi Simons ni miongoni kwa wachezaji wa kwanza ambao Bayern Munich imepanga kukamilisha usajili wao katika dirisha hili.
Sanaa zisizo na maadili ni kosa la mashabiki CHANELI moja kubwa ya TV nchini ilikuwa na kipindi fulani cha mahojiano cha kipekee. Ilikuwa inawauliza wasanii maswali yasiyohusu sanaa zao. Kwa mfano, anaweza akaletwa msanii wa Bongo Fleva na...
Kizimkazi Festival ni zaidi ya Tamasha Ni zaidi ya tamasha! Ndivyo unaweza kutamka wakati tamasha la nne la Kizimkazi likifunguliwa Jumapili ijayo mjini hapa, linatajwa kufungua fursa mbalimbali za kijamii, kimichezo na kiuchumi.
Marekani, China zafunga kibabe Olimpiki 2024 Mashindano ya Olimpiki yamemalizika usiku wa kuamkia leo huku nchi za Afrika zikishindwa kufanya vizuri kwa mwaka huu.
TP MAZEMBE VS SIMBA , EL HODOUD VS YANGA SHIRIKISHO la soka Afrika (CAF) imetoa ratiba ya michuano ya kimataifa kwa kuzipangia Simba na Yanga mechi nyepesi za
Yanga yaipiga bao jingine Simba SIMBA inahaha kukikimbiza kivuli cha Yanga kwenye Ligi ya Bara lakini rekodi zinawabeba vijana hao wa Jangwani huku kocha wao, Ernest Brandts akisisitiza kuwa hilo ni bao jingine.