Utajiri alioacha Diogo Jota ni huu WIKI iliyopita dunia ya wapenda soka ilisikitishwa sana na taarifa za kifo cha mchezaji wa Liverpool na timu ya taifa ya Ureno, Diogo Jota ambaye alifariki dunia katika ajali huko Zamora, Hispania.
Mastaa Liverpool mazoezini bila Jota HAKUNA namna, maisha lazima yaendelee. Ndicho unachoweza kusema baada ya mastaa wa Liverpool kurejea mazoezini huko Kirkby, Jumanne asubuhi ikiwa ni saa 72 tu tangu walipotoka kuhudhuria maziko...
Kisa Arsenal, Gyokeres kupewa adhabu mbili RAIS wa Sporting Lisbon, Frederico Varandas, amethibitisha kuwa mshambuliaji wa timu hiyo Viktor Gyokeres atapewa adhabu mbili kubwa baada ya kugoma kuripoti mazoezini akishinikiza aruhusiwe...
Happy Birthday Lamine Yamal LEO Lamine Yamal anasherehekea siku yake ya kuzaliwa akitimiza umri wa miaka 18, lakini tayari amefanikisha mambo makubwa katika taaluma yake ambayo Lionel Messi na Cristiano Ronaldo hawakuwahi...
PRIME Sibayon kupishana na Mukwala Simba KOCHA Enzo Maresca na vijana wake wa Chelsea wameandika historia mpya baada ya kuibuka mabingwa wa kwanza wa mfumo mpya mashindano ya fainali za Kombe la Dunia la Klabu kwa kuichapa Paris Saint...
Maresca achafukwa Kombe la Dunia la Klabu LICHA ya timu yake kupata ushindi na kutinga hatua ya robo fainali ya Kombe la Dunia la Klabu, kocha wa Chelsea, Enzo Maresca alikosoa mechi yao dhidi ya Benfica ya 16 bora akisema haikuwa mchezo...
Simbu ajitosa kuibua vipaji MWANARIADHA wa Kimataifa wa Tanzania, Alphonce Simbu amejitosa kuibua vipaji vya michezo lengo ikiwa ni kuwa daraja la vijana kutimiza ndoto zao kama ilivyo kwake.
PSG yamng’oa Messi kibabe Kombe la Dunia la Klabu SAFARI ya Lionel Messi katika michuano ya Kombe la Dunia la Klabu inayoendelea nchini Marekani imefikia tamati baada ya timu anayoichezea kwa sasa, Inter Miami ya Marekani jana usiku kufumuliwa...
Mbeumo na Man United ni kama imeisha! BRYAN Mbeumo anaweza kuwa staa mpya wa Manchester United hadi kufikia mwisho wa wiki ijayo, imeelezwa.
Ule mzigo wa Kombe la Dunia la Klabu unaanza ILE siku imefika. Mambo ni moto huku kwenye fainali za Kombe la Dunia la Klabu na utepe utakatwa uwanjani Hard Rock, Florida wakati chama la supastaa Lionel Messi, Inter Miami litakapomenyana na...