Ngoma imenoga Kombe la Dunia la Klabu MICHUANO ya Kombe la Dunia kwa klabu inayoendelea huko Marekani imefikia patamu ambapo sasa zimebakia timu nane zinazopambana kuanzia leo kutafuta tiketi ya kwenda nusu fainali kutoka robo fainali.
Arsenal ina jambo lake MCHAKATO wa Arsenal kumsajili mshambuliaji mpya wa pembeni na kuboresha safu yao ya ushambuliaji unaendelea ambapo kocha Mikel Arteta na mkurugenzi wa michezo Andrea Berta wanadaiwa kuwa na...
Duh! Rashford asiende Barcelona GWIJI wa zamani wa Manchester United, Teddy Sheringham amedai kuwa mshambuliaji wa timu hiyo Marcus Rashford “hastahili” kupata uhamisho wa majira haya ya kiangazi kwenda Barcelona.
Tottenham, Arsenal vita kali kwenye mkwanja TOTTENHAM Hotspur itavuna pesa nyingi kuliko Arsenal kwenye michuano ya Ulaya msimu ujao baada ya kufanikiwa kunyakua ubingwa wa Europa League.
Lionel Messi atatua huku HATIMA ya Lionel Messi katika soka baada ya kuondoka Inter Miami imeanza kufanyiwa kazi na wawakilishi wake, taarifa zikieleza mazungumzo kuhusu timu anayojiunga nayo yameshaanza.
Waamuzi wenye kazi yao kombe la dunia la klabu KOMBE la Dunia la Klabu la Fifa 2025 lenye mfumo mpya linatarajiwa kufanyika nchini Marekani kuanzia Juni 15 hadi Julai 13, 2025.
Refa aliyekataa bao la Aziz Ki kwa Mamelodi, apewa Simba Zenji UNAMKUMBUKA yule mwamuzi aliyekataa bao la Stephane Aziz Ki dhidi ya Mamelodi Sundowns lililozua utata mkubwa hadi kwenda kuangaliwa kwenye VAR? Anaitwa Dahane Beida raia wa Mauritania, huyu...
Man United hii, itafanya jambo MANCHESTER United imeanza dirisha la usajili kwa kufungua pochi nene - lakini huo ndio kwanza mwanzo, mambo bado hayajaisha.
Man united, Thomas Muller aje au asije? AJE au asije? Pengine hilo ni swali wanalojiuliza mashabiki wa Manchester United kwa sasa baada ya staa wa Ujerumani na Bayern Munich, Thomas Muller kudai amekuwa akivutiwa na miamba hiyo ya Old...
Utajiri alioacha Diogo Jota ni huu WIKI iliyopita dunia ya wapenda soka ilisikitishwa sana na taarifa za kifo cha mchezaji wa Liverpool na timu ya taifa ya Ureno, Diogo Jota ambaye alifariki dunia katika ajali huko Zamora, Hispania.