Gyokeres kasema kitu Arsenal ikimtaka STRAIKA, Viktor Gyokeres amevunja ukimya baada ya Arsenal kumfanya kuwa chaguo la kwanza kwenye usajili wa dirisha lijalo la uhamisho wa majira ya kiangazi.
De Bruyne moja haikai, mbili haikai KIUNGO fundi wa mpira, Kevin De Bruyne ameripotiwa kwamba bado hajafanya uamuzi wa mwisho kama atakwenda kuichezea Manchester City kwenye michuano ijayo ya Kombe la Dunia la Klabu mwezi ujao.
Bato la Ulaya kumekucha EPL! MBIO za ubingwa wa Ligi Kuu England zimeshakwisha. Vita ya kushuka daraja, imeshakwisha. Lakini, ukiweka kando vita ya kusaka Kiatu cha Dhahabu, iliyobaki ni ile ya kuwania tiketi ya kucheza Ligi...
Cristiano Ronaldo anukia Brazil MSHAMBULIAJI wa Al-Nassr, Cristiano Ronaldo, mwenye umri wa miaka 40, amepokea ofa kutoka kwa timu moja ya Brazil, ambayo itamruhusu nyota huyo wa kimataifa wa Ureno kucheza mashindano ya Kombe...
2025 ndani ya ngozi ya 2004 HUU ni sawa na ule mkasa wa chui ndani ya ngozi ya kondoo. Kwamba kwa nje anaonekana kondoo...mpole sana. Lakini kumbe kwa ndani ni chui...hatari sana.
BROWN: Mwamba wa NBA anayepiga kote kote Katika ulimwengu wa michezo, hasa mpira wa kikapu, wachezaji wengi wamekuwa wakipata mikataba minono inayowaingizia pesa na kuwafanya kuishi maisha ya kifahari.
Kisa Amorim, Ratcliffe apata wasiwasi TAJIRI wa Manchester United, Sir Jim Ratcliffe amesema yuko tayari kumuunga mkono Kocha Roben Amorim katika kuijenga Manchester United, ila ana wasiwasi kama ataendelea kusalia klabuni hapo.
Arteta: Msimu ujao hatukosei tena KOCHA wa Arsenal, Mikel Arteta amefichua alitarajia Arsenal kushinda taji la Ligi Kuu England katika mechi yao ya mwisho nyumbani msimu huu na sasa amepanga kufanya usajili wa kishindo dirisha...
Crystal Palace mabingwa FA baada ya miaka 120, yazima tumaini la Man City WIKIENDI iliyopita Manchester City ilipoteza tumaini lao la kuondoka na walau kombe moja msimu huu baada ya kupokea kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa Crystal Palace katika fainali ya Kombe la FA.
Yanga yatangulia fainali FA, ikiizima JKT TZ kibabe WATETEZI wa michuano ya Kombe la Kombe la Shirikisho (FA), Yanga jioni ya leo Jumapili, imeizima JKT Tanzania kwa kuichapa mabao 2-0 katika mechi ya nusu fainali ya michuano hiyo na kutinga...