Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

8148 results for Mwandishi Wetu :

  1. Sheria ya pigo la penalti yaboreshwa

    Bodi ya Vyama vya Mpira wa Miguu Duniani (IFAB) imefanya maboresho ya sheria mbili za soka ambazo ni sheria namba 10 inayohusu kuamua matokeo ya mchezo na sheria namba 14 inayohusu pigo la penalti.

  2. Hawa sio wageni kombe la dunia la klabu

    KATIKA mwendelezo wa kuzifuta siku zilizosalia kabla ya michuano ya Kombe la Dunia la Klabu kuanza Juni 15, nchini Marekani, mambo yameanza kunoga.

    WAGENI Pict
  3. Waamuzi wenye kazi yao kombe la dunia la klabu

    KOMBE la Dunia la Klabu la Fifa 2025 lenye mfumo mpya linatarajiwa kufanyika nchini Marekani kuanzia Juni 15 hadi Julai 13, 2025.

    WAAMUZI Pict
  4. Mchumba wa Diaz aaga Liverpool

    MCHUMBA wa Luiz Diaz ambaye ni mshambuliaji wa Liverpool, Gera Ponce amechapisha ujumbe wa hisia kwenda kwa mashabiki wa Liverpool ambao unahisiwa kuwa ni miongoni mwa nyota walio mbioni kuondoka.

    DIAZ Pict
  5. Waarabu bado wanaitaka Man United

    INAELEZWA tajiri kutoka Qatar, Sheikh Jassim bado hajakata tamaa ya kuimiliki Manchester United licha ya kufeli 2023.

    MATAJIRI Pict
  6. PRIME Nabi akomaa na Ahoua, kuhusu Fei Toto ipo hivi

    KOCHA wa Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini, Nasredine Nabi ameondoka nchini na kumtimkia Ulaya kwa mapumziko, lakini hapa Tanzania alimuacha skauti wao mmoja maalum kwa ajili ya kuwaangalia viungo...

    NABI Pict
  7. PRIME Mokwena, Yanga ngoma nzito

    YANGA inaendelea kupasua kichwa juu ya kocha gani imchukue kwa ajili ya kulijenga upya benchi la ufundi la msimu ujao, na sasa ni kwamba kuna uwezekano mkubwa ikapoteza chaguo jingine la tatu...

    MOKWENA Pict
  8. Aucho, Mukwala wachemsha Uganda

    KIUNGO nyota wa Yanga, Khalid Aucho na mshambuliaji wa Simba, Steven Mukwala wamechemsha huko Uganda baada ya kushindwa kubeba tuzo tuzo za mashabiki kwa wachezaji wanaocheza nje.

    MUKWALA Pict
  9. Partey atua anga za Barcelona

    BARCELONA imeanza mazungumzo na kiungo wa Arsenal na Ghana, Thomas Partey, 31, kuhusu uhamisho wa bure katika dirisha lijalo la majira ya kiangazi ambapo mkataba wake utamalizika.

    TETESI Pict
  10. Lionel Messi atatua huku

    HATIMA ya Lionel Messi katika soka baada ya kuondoka Inter Miami imeanza kufanyiwa kazi na wawakilishi wake, taarifa zikieleza mazungumzo kuhusu timu anayojiunga nayo yameshaanza.

    MESSI Pict
Previous

Page 457 of 815

Next