Rupia kidogo tu asepe Singida Black Stars MSHAMBULIAJI wa Singida Black Stars, Mkenya Elvis Rupia amesema ilibaki kidogo tu aondoke dirisha dogo la usajili la Januari baada ya kutoridhishwa na baadhi ya mambo japo kwa sasa kila kitu kipo...
Refa aliyetimuliwa EPL, ageuka usafirishaji mizigo MWAMUZI wa zamani wa Ligi ya England, David Coote ameonekana akifanya kazi ya kusafirisha mizigo ikiwa ni miezi kadhaa tangu aondolewe katika orodha ya waamuzi.
Huyu ndiye Raja wa ile filamu ya Hatya Sasa kama hujui ni kwamba, dogo huyo aliyekuwa akisakwa na kundi la maadui kutokana na kushuhudia tukio la kuuawa kwa wazazi wake, hakuwa mtoto wa kiume....
Bruno akataa Sh725 Bilioni SUPASTAA wa Manchester United na timu ya taifa ya Ureno, Bruno Fernandes amekataa ofa ya kushangaza kutoka Al-Hilal ya Saudi Arabiai.
Kinachokwamisha dili la Wirtz Anfield NYOTA wa kimataifa wa Bayer Leverkusen, Florian Wirtz 22, tayari amefikia makubaliano na mabingwa wa Ligi Kuu England, Liverpool, lakini changamoto inatajwa kuwa ni ada ya uhamisho.
Arsenal, Liverpool ‘big no’ kwa Alvarez MABOSI wa Atletico Madrid wameeleza kuwa straika wa timu hiyo, Julian Alvarez ataendelea kusalia kuwa mchezaji wao msimu ujao licha ya timu kadhaa za Ligi Kuu England kutaka kumsajili.
Jobe Bellingham kufuata nyayo za kaka yake MABOSI wa Borussia Dortmund wana imani kuwa wameshinda mbio za kumsajili kiungo wa kati wa Sunderland, Jobe Bellingham ambaye ni mdogo wake Jude Bellingham anayekipiga Real Madrid.
PRIME Sababu 5 za mtego wa dabi BADO kuna utata juu ya hatma ya mchezo wa kiporo namba 184 kati ya Yanga na Simba ambapo kujua upande mmoja haujanyoosha maelezo kama mchezo upo au haupo hatua ambayo inaweka rehani mechi hiyo.
Vigogo Barca waanza kazi kwa Luis Diaz BARCELONA imeanza mazungumzo ya awali ya kumsajili winga wa Liverpool, Luis Diaz, 28, katika dirisha hili la usajili huko Ukaya, lakini inakumbana na upinzani mkubwa kutoka katika timu za Saudi...
Kigwangalla ammwagia maua MO Dewji, Simba Mwanachama mwandamizi wa Simba na Mbunge wa Nzega Vijijini, Dk Hamis Kigwangalla amefurahishwa na maendeleo ya timu hiyo huku akisema kwa sasa anakoshwa na utendaji kazi wa Mwenyekiti wa Bodi ya...