Guardiola amweka binti yake benchi KOCHA, Pep Guardiola ameamua kumwanika binti yake, Valentina kwa mashabiki wa soka duniani baada ya kumkaribisha kwenye benchi la ufundi wakati Manchester City ilipokuwa katika majukumu ya...
Amorim kuwapiga chini wachezaji hawa! KOCHA wa Manchester United, Ruben Amorim amepanga kuwapiga chini Alejandro Garnacho, Marcus Rashford, Antony na Jadon Sancho kwenye orodha ya mastaa atakaowajumuisha kwenye kikosi chake...
Benjamin Sesko aipa sharti moja Arsenal amwage wino STRAIKA wa RB Leipzigz, Benjamin Sesko ameipa Arsenal sharti la kuweka kipengele maalumu kwenye mkataba wake ambacho kitakuwa kinaeleza ni kiasi gani kikilipwa na timu itakayomhitaji anaweza...
Arsenal walia ratiba yao kimeo MASHABIKI wa Arsenal wametania kwamba ratiba ya mechi zao sita za kwanza kwenye Ligi Kuu England msimu ujao ni ya “hujuma”.
Duh! Eto’o amgonga Geremi nyundo tano STAA wa zamani wa Chelsea, Geremi Njitap amekumbana na nyundo ya kufungiwa soka miaka mitano huko Cameroon baada ya kutibuana na mchezaji mwenzake wa zamani, ambaye kwa sasa ni bosi, Samuel Eto’o.
Lionel Messi: Sina urafiki na Cristiano Ronaldo Nyota wa Inter Miami na timu ya taifa ya Argentina, Lionel Messi (37) amefichua kuwa hana urafiki na staa wa Al Nassr na timu ya taifa ya Ureno, Cristiano Ronaldo (40).
Ufunguzi CHAN kufanyika Kwa Mkapa, fainali kupigwa Kenya Taarifa iliyotolewa na CAF leo imeeleza kuwa hafla ya uzinduzi wa fainali hizo itafanyika Jumamosi, Agosti 2 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.
Nafasi za Mnguto, Kasongo zajazwa TPLB Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imepata viongozi wawili wa kukaimu nafasi za Mwenyekiti na Mtendaji Mkuu ambao Juni 13, 2025 waliondoka katika nafasi hizo kwa sababu tofauti.
Kompyuta yatabiri bingwa EPL 2025/26 KOMPYUTA ya kisasa imetabiri msimamo wa mwisho wa Ligi Kuu ya England kwa msimu wa 2025/26 baada ya ratiba zote kutangazwa juzi.
Winga Chelsea akaribia kifungo WINGA wa Chelsea, Mykhailo Mudryk, anakabiliwa na uwezekano wa kufungiwa hadi miaka minne baada ya kushtakiwa rasmi na Chama cha Soka cha England (FA) kuhusu ukiukaji wa kanuni za kupinga...