Radi, Joto, mvua zaleta shida Kombe la Dunia MICHUANO ya Kombe la Dunia kwa Klabu la Fifa inaendelea Marekani katika miji tofauti ikiwa ni hatua ya makundi. Hata hivyo, michauno hiyo ambayo imekuja katika mfumo mpya baada ya timu kuongezwa...
Bayern Munich haijakata tamaa kwa Nico Williams BAYERN Munich bado ina matumaini ya kumsajili winga wa Athletic Bilbao na timu ya taifa ya Hispania, Nico Williams, 22, katika dirisha hili licha ya mchezaji huyo kufikia makubaliano ya kujiunga...
Panga la Pep kumgusa Gundogan KOCHA wa Manchester City, Pep Guardiola amefungua mlango kwa kiungo wao, Ilkay Gundogan kuondoka na kukiri Manchester City italazimika kuuza baadhi ya wachezaji majira haya ya kiangazi.
Santi Cazorla aibua shangwe akitimiza ndoto KIUNGO Santi Cazorla amekamilisha hadithi yake ya ndoto akiwa na Oviedo baada ya kufunga na kuwasaidia kupanda tena LaLiga.
PRIME Hii ndo Endorsement ya Uchaguzi Mkuu TFF KIPYENGA cha Uchaguzi Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kimeshapulizwa na kwa sasa mchakato wa uchaguzi huo upo hatua ya Mchujo kwa wagombea waliojitokeza kuwania nafasi saba za uongozi...
Mo Salah, Bruno wagombea tuzo MOHAMED Salah na Alexis Mac Allister wapo kwenye mchakamchaka wa kuwania tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka wa Kulipwa huko England baada ya kuwa na msimu bora - lakini mashabiki wa Liverpool...
Kombe la Dunia... Madrid na Pachuca, Juve na Wydad REAL Madrid itashuka uwanjani bila ya huduma ya supastaa wao Kylian Mbappe katika mchezo wao wa pili wa hatua ya makundi kwenye fainali za Kombe la Dunia la Klabu dhidi ya Pachuca, Jumapili.
Alexander Isak amweka mtegoni Arne Slot LIVERPOOL itapenda kuendelea kufungua pochi dirisha hili la majira ya kiangazi huku mpango wao ni kunasa huduma ya straika Alexander Isak lakini dili hilo litawaingiza kwenye matatizo makubwa.
Florian Wirtz atua Liverpool kwa Sh400 bilioni RASMI sasa, kiungo wa Kijerumani, Florian Wirtz ni mchezaji mpya wa Liverpool na mwenyewe amefichua anataka kushinda kila taji huko Anfield.
Twiga Stars yatwaa ubingwa CECAFA kwa rekodi za aina yake Timu ya taifa ya soka ya Wanawake ya Tanzania ‘Twiga Stars’ imetwaa ubingwa wa mashindano ya Wanawake ya Baraza la vyama vya Mpira wa Miguu Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) baada ya kuichapa...