Manchester United yataja bei ya kumuuza Sancho MANCHESTER United inataka Pauni 25 milioni kwa ajili ya kumuuza winga wake Jadon Sancho katika dirisha hili la majira ya kiangazi ambapo timu kadhaa zinadaiwa kuhitaji huduma yake.
Rais Napoli ajitosa dili la Darwin Nunez RAIS wa Napoli, Aurelio De Laurentiis, anaripotiwa kuamua kuvaa gwanda mwenyewe na kuingia katika mazungumzo ya usajili wa straika wa Liverpool, Darwin Nunez ili kumsajili katika dirisha hili.
Arsenal ina jambo lake MCHAKATO wa Arsenal kumsajili mshambuliaji mpya wa pembeni na kuboresha safu yao ya ushambuliaji unaendelea ambapo kocha Mikel Arteta na mkurugenzi wa michezo Andrea Berta wanadaiwa kuwa na...
Diogo Jota afariki kwa ajali, gari lawaka moto NYOTA wa Liverpool na timu ya taifa ya Ureno, Diogo Jota, ameripotiwa kufariki dunia katika ajali ya gari ikiwa ni siku 10 tu tangu afunge ndoa.
Arsenal iko bize kusaka hivi vichwa vya kazi LISEMWALO kwa sasa ni kwamba Arsenal ipo kwenye hatua za mwisho za kunasa dili la straika Viktor Gyokeres ili akapige mzigo kwenye timu hiyo inayosaka taji la Ligi Kuu England kwa nguvu.
Mastraika Isac, Ekitike wanavyosumbua vogogo DIRISHA la usajili wa mastaa la majira ya kiangazi huko Ulaya lipo wazi na sasa gumzo kubwa ni kuhusu huduma za mastraika. Nani anafaa?
Haaland amvuta kipa Bounou Man City STRAIKA Erling Haaland ameonekana kumshawishi kijanja kipa Yassine Bounou ajiunge Manchester City baada ya kuisaidia Al-Hilal kuiondoa miamba hiyo ya Ligi Kuu England fainali za Kombe la Dunia la...
Chelsea FC yaipa utajiri Brighton HII kali. Chelsea imeilipa Brighton Pauni 257 milioni kwenye miaka ya karibuni, mkwanja ambao unatosha kujenga uwanja wake wa Amex mara tatu.
P Diddy asikilizia hukumu, akutwa na makosa mawili WAKATI jopo la majaji wa Mahakama ya Shirikisho New York, Marekani, likitumia saa 13 ndani ya siku tatu kujadiliana kutoa hukumu kwa Sean Combs 'P Diddy', limemtia hatiani kwa makosa mawili kati...
Man United inavyopenda kusajili mastraika ‘age go’ MANCHESTER United inahusishwa na mpango wa kumsajili straika wa Aston Villa, Ollie Watkins, ikidaiwa kutaka kuendelea rekodi yake ya kusajili washambuliaji ‘age go’.