Tatu zajitokeza dili la Jack Grealish TOTTENHAM, Newcastle na Napoli zipo katika vita ya kuiwania saini ya kiungo wa Manchester City na timu ya taifa ya England, Jack Grealish dirisha hili.
Chelsea FC yashikwa pabaya Uefa KIMENUKA. Chelsea huenda ikapigwa pini kuwatumia mastaa wake wapya Liam Delap, Joao Pedro na wengine itakaowasajili dirisha hili kwenye mikikimikiki ya Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu ujao.
Mastaa Liverpool mazoezini bila Jota HAKUNA namna, maisha lazima yaendelee. Ndicho unachoweza kusema baada ya mastaa wa Liverpool kurejea mazoezini huko Kirkby, Jumanne asubuhi ikiwa ni saa 72 tu tangu walipotoka kuhudhuria maziko...
Fountain Gate yabaki Ligi Kuu, Stand United ijipange tena Timu ya Fountain Gate imefanikiwa kubaki Ligi Kuu Bara baada ya kupata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Stand United kwenye mchezo wa ‘play off’ ya pili uliopigwa Uwanja wa Tanzanite Kwaraa, huku...
Amorim ana madeni matano Manchester United MANCHESTER United inakabiliwa na msimu muhimu kweli na mipango ya hiyo inakwenda vizuri.
Newcastle United yaingilia dili la Man United kwa Lewin NEWCASTLE imefanya mazungumzo na straika wa zamani wa Everton, Dominic Calvert-Lewin, 28, ili kumsajili dirisha hili.
Bosi Arsenal apanda ndege kumfuata Gyokeres BOSI wa usajili kwenye kikosi cha Arsenal, Andrea Berta amekwea pipa kwenda Ureno kufanya mazungumzo ya kina na mabosi wa Sporting Lisbon kwa ajili ya kukamilisha usajili wa straika wa mabao...
Beno Ngassa ajibana Dodoma Jiji WINGA machachari, Beno Ngassa amejiunga na timu ya Dodoma Jiji kwa mkataba wa miaka miwili kuitumikia katika msimu ujao.
Watatu waiangusha Twiga Stars Wafcon KICHAPO cha bao 1-0 ilichopokea Twiga Stars kwenye mchezo wa kwanza wa mashindano ya Kombe la Mataifa Afrika Wanawake (WAFCON) inayoendelea nchini Morocco, imechangiwa na kukosekana kwa nyota...
Namungo FC yamrejesha Kikoti MABOSI wa Namungo wameamua kumrejesha nyumbani kiungo mnyumbulifu, Lucas Kikoti ambaye msimu uliopita alikuwa akicheza Coastal Union.