Wakala wa Sesko azipigia simu Liverpool, Man United
WAKALA wa mshambuliaji wa RB Leipzig, Benjamin Sesko mwenye umri wa miaka 22, amewasiliana na Liverpool ili kujua kama ina nia ya kumsajili nyota huyo wa kimataifa wa Slovenia, kutokana na uamuzi...