Mastaa Newcastle wana kitu cha Isak MASTAA wa Newcastle United, Bruno Guimaraes na Dan Burn wamefunguka kwa mara ya kwanza kuhusu ishu ya Alexander Isak kutaka kuachana na miamba hiyo ya St James’ Park.
Watkins, Sesko nani anatosha Man United? OLLIE Watkins au Benjamin Sesko? Nani ataweza kufiti vyema kwenye fowadi ya Manchester United? Swali gumu linapokuja suala la ndani ya uwanja, lakini linajibika kiwepesi kwenye karatasi.
Mcongo anyemelewa, Dodoma Jiji ikiachana na Mexime Mmoja wa watu wa karibu wa Kizmak ameiambia Mwananchi Digital kuwa kocha huyo raia wa DR Congo amefikia mahali pazuri katika mazungumzo yake na Dodoma Jiji FC.
Duh! Guardiola ashtua watu KOCHA Pep Guardiola amewaduwaza mashabiki wa Ligi Kuu England baada ya kuibuka na mwonekano mpya kabisa katika kuelekea msimu ujao.
Timu kibao Ulaya zaanza kumgombea Gabriel Jesus NEWCASTLE na Tottenham ziko katika vita kali ya kuiwania saini ya mshambuliaji wa Arsenal, Gabriel Jesus, mwenye umri wa miaka 28, katika dirisha hili.
Donnarumma Manchester United, mikono salama HABARI ndo hiyo. Manchester United inapiga hesabu kali za kumnasa kipa kiboko kwa kudaka, Gianluigi Donnarumma baada ya klabu yake ya Paris Saint-Germain kukubali ofa ya Pauni 34.9 milioni ya...
Saka atia tiki usajili wa Eze BUKAYO Saka amewasha moto baada ya kusikia mpango wa Arsenal wa kutaka kumleta Eberechi Eze kwenye kikosi hicho huku jambo hilo likidaiwa kuwapa raha kubwa mashabiki wa timu hiyo ya Emirates.
PRIME Upepo wa Fei Toto umebadilika! UPEPO umebadilika. Ndicho unachoweza kusema kutokana na sakata la usajili wa kiungo mshambuliaji wa Azam FC, Feisal Salum ‘Fei Toto’. Awali, Yanga ilikuwa ikitajwa na kuonekana kuwa karibu...
Rayvanny kutumbuiza ufunguzi wa CHAN, 2024 Kwa Mkapa Mwanamuziki wa Bongo Fleva Rayvanny (Raymond Mwakyusa) anatarajiwa kutumbuiza kwenye hafla ya ufunguzi wa Mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN), inayotarajiwa...
Man United yampigia hesabu kali Kolo Muani MANCHESTER United imeingia katika mchakato wa kutaka kumsajili mshambuliaji wa Paris Saint-Germain na timu ya taifa ya Ufaransa, Randal Kolo Muani, mwenye umri wa miaka 26, ambaye anawindwa na...