Sesko kaikataa Man United kisa Newcastle United NEWCASTLE United imewasilisha ofa ya Pauni 65.5 milioni kwenda RB Leipzig kwa ajili ya kumnunua mshambuliaji wa kimataifa wa Slovenia, Benjamin Sesko mwenye umri wa miaka 2
PRIME Huko Yanga bado mmoja tu! YANGA imeshaanza maandalizi ya msimu mpya wa mashindano kwa mwaka 2025-26 na jana Jumapili mazoezi ya timu hiyo yalisitishwa kidogo kisha kufanyika kikao kizito kati ya mabosi wa klabu hiyo na...
PRIME Mido Mkenya, Sowah wainogesha kambi KIKOSI cha Simba leo Jumatatu kinaingia siku ya tano kikiwa kambini katika jiji la Ismailia, Misri kujiandaa na msimu mpya na kikosi hicho kimepokea kundi lingine la wageni na wenyeji wakiwa...
AC Milan yawekeza nguvu dili la Darwin Nunez AC Milan iko kwenye mazungumzo na mshambuliaji wa Liverpool, Darwin Nunez, 26, ili kumsajili dirisha hili la majira ya kiangazi.
Achraf Hakimi kalizua tena huko NYOTA wa PSG, Achraf Hakimi, anaripotiwa kukabiliwa na kesi ya ubakaji inayodaiwa kuwa aliifanya baada ya kumwalika mwanamke nyumbani kwake karibu na jijini la Paris.
Vigogo Newcastle United wanaogopa MABOSI wa Newcastle wana hofu kwamba Liverpool iko tayari kutumia mbinu ya kusubiri kama ile ilivyofanya kwa Virgil van Dijk ili kuhakikisha inainasa saini ya mshambuliaji Alexander Isak, ambaye...
Video ya ‘koneksheni’ yamtia matatani staa wa Real Madrid MADRID, HISPANIA: Raul Asencio wa Real Madrid anaweza kufungwa hadi miaka miwili na nusu jela huku waendesha mashtaka nchini Hispania wakitaka ahukumiwe kwa sakata la unyanyasaji wa kingono kwa...
Asikwambie mtu! Talaka chungu SAKATA la talaka ya Pep Guardiola na mkewe mrembo Cristina Serra limechukua sura mpya huku likitakiwa kumalizwa haraka.
Mastaa wanne hali mbaya Man United MASTAA wa Manchester United, Alejandro Garnacho, Antony, Jadon Sancho na Tyrell Malacia bado wapo bayana baada ya kutakiwa kutowasogelea kabisa mastaa wengine wa kikosi cha kwanza cha miamba hiyo...
Sesko abadili upepo ghafla STRAIKA, Benjamin Sesko amechagua kujiunga na Newcastle United badala ya Manchester United, kwa mujibu wa ripoti kutoka Slovenia.