Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

8126 results for Mwandishi Wetu :

  1. Isak kuwekewa ngumu Newcastle

    KOCHA wa Newcastle United, Eddie Howe amesema straika Alexander Isak atapaswa kupambana kwelikweli kurudi kwenye mazoezi ya kikosi cha kwanza.

  2. Chelsea yasajili mabeki Pauni 360m

    KUWASILI Kwa Jorrel Hato kwa ada ya Pauni 37 milioni kwenye kikosi cha Chelsea kimefanya miamba hiyo ya Stamford Bridge kuweka rekodi ya kutumia Pauni 360 milioni kusajili mabeki chini ya mmiliki...

  3. CAF wakae chini kuangalia upya sheria ya usajili CHAN

    MOHAMED Bajaber wa timu ya taifa ya Kenya, Harambee Stars, amekosa sifa za kucheza fainali za CHAN mwaka huu kwa sababu amesaini kuitumikia Simba, timu ya nje ya nchi yake.

  4. PRIME Kuhusu suala la Mpanzu Simba lipo hivi

    HUKO miluzi ni mingi kuhusiana na nyota wa Simba, Elie Mpanzu, ambako mijadala mbalimbali inaendelea wakati huu ambao ishu za usajili katika timu mbalimbali zimetaladadi, ambapo mastaa kibao...

  5. Lookman acharuka, agomea kuondoka Atalanta

    MCHEZAJI Mnigeria, Ademola Lookman amewashambulia kwa maneno makali mabosi wa Atalanta baada ya kuzuia uhamisho wake wa Pauni 39 milioni kwenda kujiunga na Inter Milan.

  6. KAABI: Kutoka CHAN hadi mfungaji bora Ulaya

    KADRI mashindano ya Kombe la Mataifa Afrika kwa Wachezaji wa Ndani yakianza leo, majina ya mastaa kadhaa yamekuwa yakikumbukwa lakini kubwa zaidi ni la mwamba wa Morocco Ayoub El Kaabi aliyetumia...

    KAABI Pict
  7. BOLKIAH: Mchezaji tajiri kuliko Messi, Ronaldo

    FAIQ Jefri Bolkiah si jina maarufu katika ulimwengu wa soka. Ni mtoto katika familia ya kifalme ya Brunei ambaye anatajwa kuwa mchezaji wa soka mwenye utajiri mkubwa zaidi duniani, akiwazidi...

    ATM Pict
  8. Kuhusu Rashford  kucheza Barca ipo hivi

    STAA wa Manchester United, Marcus Rashford ambaye amejiunga na Barcelona kwa mkopo wa msimu mmoja katika dirisha hili, amezungumza kwa mara ya kwanza kuhusu hofu kwamba huenda akashindwa kucheza...

    RASHFORD Pict
  9. Miaka kumi ya pata potea Son, Spurs

    WAINGEREZA walikuwa wanaumia sana kuona Harry Kane akiwa anatimiza miaka 30, halafu katika kabati lake hana medali ya ubingwa unaoeleweka. Bosi wa Spurs, Daniel Levy alipindua kisogo kila wakati...

    SON Pict
  10. Waarabu wanamtaka tena Bruno Fernandes

    AL Nassr ya Saudi Arabia imerudi tena mezani kutaka kumsajili mshambuliaji wa Manchester United, Bruno Fernandes katika dirisha hili ikiwa ni mwezi mmoja tu baada ya kuikataa ofa ya kwanza kutoka...

    BACK Pict
Previous

Page 390 of 813

Next