Inter sasa yampigia hesabu Sancho kisa ishu ya Lookman
INTER Milan imefikiria kumsajili winga wa Manchester United na timu ya taifa ya England, Jadon Sancho, mwenye umri wa miaka 25, kama itashindwa kufikia makubaliano ya kumsajili mshambuliaji wa...