Arteta: Majeruhi? Wote wapo fiti KOCHA wa Arsenal, Mikel Arteta amewaahidi mashabiki wa timu hiyo kwamba atamaliza tatizo la majeruhi kabla ya msimu kuanza.
Newcastle, Bayern Munich jino kwa jino kwa Jackson BAYERN Munich imeingia katika vita dhidi ya Newcastle United kumuwinda mshambuliaji wa Chelsea na timu ya taifa ya Senegal, Nicolas Jackson, mwenye umri wa miaka 24.
Ibenge aanza kuona mwanga Azam FC KOCHA wa Azam FC, Florent Ibenge, ameonyesha imani na kuvutiwa na kiwango cha nyota wa timu hiyo kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu Bara, Kombe la FA na mashindano ya Kombe la Shirikisho Afrika.
Sesko kulamba Shilingi 500 milioni kwa wiki BENJAMIN Sesko atajiunga na Manchester United akiwa mchezaji wa nane anayelipwa mshahara mkubwa licha ya kusajiliwa kwenda kubeba majukumu ya kuongoza safu ya ushambuliaji ya miamba hiyo ya Old...
Carragher akataa usajili wa Isak GWIJI wa Liverpool, Jamie Carragher amewaambia mabosi kufuta mpango wa kumsajiliAlexander Isak.
Taifa Stars kanyaga twen’zetu robo HAKUNA kitu kingine kinachosubiriwa na mashabiki wa soka nchini, ila kusikia na kuiona timu ya taifa, Taifa Stars ikivuka hatua ya makundi na kutinga robo fainali ya michuano ya Ubingwa wa Nchi...
PRIME Kwa hizi mbinu za Folz, mjipange! UNALIKUMBUKA balaa la Miguel Gamondi alipokuwa Yanga kwa aina ya soka lake lilivyotingisha kabla ya kuondoka? Jamaa alipotoka tu, akaingia Sead Ramovic akafanya balaa ndani ya muda mfupi na...
AC Milan yaangukia kwa Hojlund, mchongo mzima upo hivi AC Milan imeonyesha nia kubwa ya kumsajili mshambuliaji wa Manchester United na timu ya taifa ya Denmark, Rasmus Hojlund kwa mkopo wa msimu mmoja ambao utakuwa na kipengele cha kumnunua moja kwa...
James Maddison nje wiki kibao Spurs KIUNGO mchezeshaji wa Tottenham Hotspur, James Maddison atakosa sehemu kubwa ya msimu baada ya kupata maumivu makubwa ya goti.
Baleba kuvunja kibubu Man United MANCHESTER United italazimika kulipa ada itakayovunja rekodi ya uhamisho kama inataka saini ya kiungo wa Brighton, Carlos Baleba kwenye dirisha hili la uhamisho.