Arteta na safari yake ya matumaini leo LIGI Kuu England inaendelea leo na mchezo ambao unatarajiwa kuvutia mashabiki wengi zaidi ni ule wa Newcastle United itakayokuwa nyumbani kuikaribisha Arsenal ya Mikel Arteta.
Man United yachapika Premier BAADA ya kupokea kichapo cha mabao 3-1 kutoka kwa Brentford ugenini katika mchezo wa mapema uliopigwa leo Jumamosi, kocha wa Manchester United anadaiwa kuwa katika hali mbaya na mabosi wa timu...
Potter afungashiwa virago West Ham KOCHA Graham Potter ametimuliwa na West Ham United saa chache zilizopita, licha ya kuongoza mazoezi kwa wiki nzima kuelekea mechi za wikiendi hii.
Gor Mahia yazinduka, Tusker yapasuka tena Mabingwa wa zamani wa Ligi Kuu ya Kenya, Gor Mahia imezinduka jioni hii baada ya kupata ushindi wa mabao 2-0 ugenini dhidi ya Sofapaka, huku Tusker ikipasuka kwa mara nyingine katika ligi hiyo.
Nairobi Utd yatangulia CAF ikiwatoa Waganda Bao la dakika ya 65 kupitia Duncan Omala limeiwezesha Nairobi United kutoka sare jioni hii ikiwa nyumbani na kuwa timu ya kwanza ya Kenya kufuzu raundi ya pili ya michuano ya CAF.
Man United, uwanja mpya mipango yaanza kukwama MANCHESTER United inadaiwa kuachana na mpango wa awali wa kujenga uwanja wenye paa la kisasa na la aina yake baada ya kukumbana na matatizo makubwa katika ununuzi wa ardhi.
Kane awapiga bao Ronaldo, Haaland MSHAMBULIAJI wa Bayern Munich, Harry Kane ameweka rekodi ya kuwa mchezaji wa kwanza kufunga mabao 100+ ndani ya mechi chache zaidi akiwa na klabu ya Ligi tano bora barani Ulaya.
EPL: Mtifuano kuendelea wikiendi hii KIPUTE cha Ligi Kuu England cha raundi ya tano kitapigwa leo ambapo vigogo Manchester United, Liveprool, Manchester City, Chelsea na Totteham Hotspur watashuka viwanjani kwa ajili ya kuendelea...
Kwa hili Timu zijifunze, zisirudie kosa LIGI Kuu Bara ni kipimo kikubwa cha ubora wa soka letu na kioo cha jinsi klabu zetu zinavyopaswa kujiendesha.
Paddy Kenny amwita Rooney ulingoni LEJENDI wa Manchester United, Wayne Rooney amealikwa katika pambano la ngumi na kipa wa zamani wa Sheffield United, Paddy Kenny.