'Slot anaikosea sana Liverpool, atakuja kujuta' GWIJI wa soka nchini Scotland, Craig William Burley ameonesha wasiwasi mkubwa kuhusu uamuzi wa kiufundi wa kocha wa Liverpool, Arne Slot, baada ya timu hiyo kupoteza mechi ya Ligi ya Mabingwa...
Kisa umri, Ronaldo atupwa nje Saudia KOCHA wa Al-Nassr, Jorge Jesus, amesema Cristiano Ronaldo hatakuwa sehemu ya kikosi chake kitakachopambana na Al-Zawraa ya Iraq katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Asia leo Jumatano, Oktoba Mosi 2025.
Msikie Enzo Maresca ishu ya nidhamu mbovu Chelsea JINAMIZI la kadi nyekundu limeendelea kuikabili Chelsea ambayo sasa mechi nne za karibuni wachezaji wake watatu wamekumbana na adhabu hiyo baada ya jana Joao Pedro kutolewa uwanjani kwenye mechi...
Pigo Liverpool, Alisson kuikosa Chelsea Jumamosi KIPIGO cha bao 1-0 ilichopata Liverpool kutoka kwa Galatasaray kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya, kimeongeza maumivu mara mbili baada ya kipa namba moja wa kikosi hicho, Alisson Becker kuripotiwa...
Meja Jenerali Isamuhyo wawekwa taa, Ligi Kuu kupigwa usiku Zoezi la ufungaji taa katika Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo, Mbweni Dar es Salaam limekamilika jana Septemba 30, 2025.
Simulizi ya Antony alivyoishi siku 40 za mateso Man United WINGA wa zamani wa Manchester United, Antony, ametoa malalamiko kuhusu namna alivyotendewa vibaya wakati akiwa sehemu ya wachezaji waliotengwa ndani ya kikosi hicho chini ya kocha Ruben Amorim...
PSG, Barca ni mechi ya kisasi LIGI ya Mabingwa inaendelea tena kesho lakini macho na masikio yote yatakuwa pale Lluis Companys Olympic Stadium na wenyeji Barcelona watakuwa wanaikaribisha Paris Saint-Germain katika mechi ya...
Mikel Arteta kuja na mbinu ya kivita KOCHA wa Arsenal, Mikel Arteta amefichua yupo katika mpango wa kushirikiana na marubani wa ndege za kivita wa jeshi la Uingereza ili kubuni njia mpya ya mawasiliano kwa wachezaji wake wanapokuwa...
Wayne Rooney amtupia zigo la lawama Wirtz LEJENDI wa Manchester United, Wayne Rooney amemtaja staa wa Liverpool, Florian Wirtz ndio anaharibu mfumo wa kocha Arne Slot.
Matajiri Saudia kumrudisha Klopp kazini KOCHA wa zamani wa Liverpool, Jurgen Klopp anadaiwa kuwa katika mazungumzo na Al-Ittihad ya Saudi Arabia ambayo inatafuta kocha kwa sasa.