Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

8552 results for Mwandishi Wetu :

  1. Yanga yamvunjia mkataba Folz, Mabedi achukua mikoba

    Uongozi wa Klabu ya Yanga umevunja rasmi mkataba na Kocha Mkuu wa timu hiyo, Romain Folz, ambaye amejiunga na timu hiyo mwanzo wa msimu.

  2. Yanga yapigwa ugenini, Folz aacha maswali kibao

    DAKIKA tisini za ugenini kwa Yanga leo Oktoba 18, 2025 zimekuwa ngumu baada ya kupokea kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa wenyeji wao, Silver Strikers ikiwa ni mechi ya mkondo wa kwanza Ligi ya...

  3. Kipigo dhidi ya Chelsea chamfukuzisha kocha Nottingham Forest

    DAKIKA 19 baada ya kupoteza kwa mabao 3-0 dhidi ya Chelsea katika mechi ya Ligi Kuu England iliyopigwa leo, Jumamosi Oktoba 18, 2025, Nottingham Forest imeamua kumfukuza kazi kocha wake, Ange...

  4. Palace yakubali kwa Guehi, Barca, Madrid zatajwa

    CRYSTAL Palace inajiandaa kumuuza beki wake wa kati wa kimataifa wa England, Marc Guehi dirisha lijalo la majira ya baridi.

  5. Pogba, Monaco mambo yanazidi kuwa magumu

    KIUNGO Paul Pogba bado hajacheza mechi yoyote kwenye klabu yake mpya huko AS Monaoc, lakini huenda asipate kabisa nafasi ya kucheza chini ya kocha aliyemnunua huko Stade Louis II.

  6. Mancini ajipeleka Man United kiaina

    KOCHA Roberto Mancini amewaambia marafiki zake anaweza kuwa chaguo la kushtua wengi la kutua Manchester United wakati itakapomfuta kazi Ruben Amorim.

  7. Arteta amtisha straika Gyokeres

    KOCHA Mikel Arteta amemwonya straika wake Viktor Gyokeres angechagua kwenda kujiunga na timu nyingine endapo kama atashindwa kuendana na presha ya kufunga mabao inayomkabili kwa sasa kwenye Ligi...

  8. Stones nusura astaafu soka

    BEKI wa kati wa Manchester City na England, John Stones amefichua alifikiria kustaafu soka msimu uliopita baada ya kuandamwa sana na majeraha.

  9. Ndinga za kifahari kwa mastaa NBA

    ‘WANATESA kote kote.’ Ndicho unaweza kusema kwa mastaa wa mpira wa kikapu huko Marekani kama vile LeBron James na Stephen Curry kutokana na magari ya kifahari wanayomiliki.

    New Content Item (1)
  10. Amorim anajua hili? Historia ya makocha Man United na vipigo vya Liverpool

    RUBEN Amorim anajua hii? Kama hajui iko hivi, chama lake la Manchester United linakwenda Anfield kuwakabili Liverpool, ambao ni maspeshalisti wa kufukuzisha makocha wa Old Trafford.

Previous

Page 347 of 856

Next