Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

8552 results for Mwandishi Wetu :

  1. Vijana wa Chelsea waidhalilisha Ajax

    Chelsea imekuwa timu ya kwanza kwenye historia ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kuwa na wachezaji watatu vijana wenye umri chini ya miaka 20 waliofunga mabao katika mechi moja, baada ya kushinda 5–1...

  2. Ekitike afunga Liverpool ikimaliza ukame wa ushindi kwa kishindo

    Hugo Ekitike amefunga dhidi ya klabu yake ya zamani wakati Liverpool wakiukomesha mwenendo wao mbaya wa kupoteza mechi kwa kishindo, baada ya kutoka nyuma na kuicharaza Eintracht Frankfurt katika...

  3. Rekodi mbili zawekwa Bayern ikiikanda Clube Brugge

    Kuna rekodi mbili zimewekwa katika mechi ambayo Bayern Munich imeikanda Club Brugge mabao 4-0 iliyofanyika Allianz Arena, Ujerumani usiku wa Oktoba 22, 2025.

  4. Athletic yapata ushindi wa kwanza Andre akiandika historia UEFA

    Klabu ya Athletic imetoka nyuma na kuichapa Qarabag mabao 3-1 na kupata ushindi wake wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu huu, baada ya kiungo wa Qarabag, Leandro Andrade, kuweka historia...

  5. Osimhen aweka rekodi ya mabao Galatasaray ikiichapa Bodo/Glimt

    Victor Osimhen amefunga mabao mawili na kusaidia lingine wakati Galatasaray ikiendeleza mwenendo mzuri kwa kupata ushindi wa pili mfululizo kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Bodo/Glimt...

  6. PRIME Hapa Ziyech, pale Aziz Ki kuna kitu kinapikwa Wydad

    SUPASTAA Hakim Ziyech amekubali kujiunga bure na Wydad Casablanca ya Morocco baada ya kutokuwa kwenye timu yoyote kwa kipindi cha miezi mitano.

  7. Twiga Stars yatakata, yanusa WAFCON

    Timu ya Taifa ya soka ya Wanawake ya Tanzania ‘Twiga Stars’ imejiweka katika nafasi nzuri ya kufuzu Fainali za Mataifa ya Afrika kwa Wanawake (WAFCON) 2026 baada ya kuibuka na ushindi wa mabao...

  8. Polisi wajitetea mashabiki Maccabi Tel Aviv kuzuiwa England

    Kamishna Mkuu wa Polisi wa West Midlands, amesema jeshi hilo halijashindwa kumlinda mtu yeyote akitetea uamuzi wa kuwapiga marufuku mashabiki wa Maccabi Tel Aviv kuhudhuria mechi ya Europa League...

  9. Slot akijipindua tu hana chake

    LISEMWALO ni kwamba kibarua cha Arne Slot huko Liverpool kipo kwenye mashaka makubwa kutokana na timu hiyo kupata matokeo ya hovyo uwanjani.

  10. Kane huyu siyo yule wa zamani

    STRAIKA Harry Kane amekuwa gumzo na kuwafanya watu waamini anaweza kubadili nafasi yake ya kucheza ndani ya uwanja na kisha akawasha moto baada ya kile alichokifanya dhidi ya Borussia Dortmund.

Previous

Page 340 of 856

Next