Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

8549 results for Mwandishi Wetu :

  1. Kwa hili la bosi wa Nottingham Forest, usijaribu kabisa

    'SHANGILIA lakini usiniguse', Ndivyo inavyoweza kusemwa ukiwa karibu na Mwenyekiti wa Nottingham Forest, Evangelos Marinakis kutokana na wiki ngumu ambayo amekuwa akipitia inayosababisha na...

    FOREST Pict
  2. Brian Deacon: Huyu ndiye aliyeigiza filamu ya Yesu na kuwachanganya wengi

    HAKUNA ubishi zipo filamu nyingi zinazohusiana na simulizi za kidini hususani za Yesu Kristo, lakini filamu iitwayo Jesus ndio iliyobamba zaidi na kutumika kusambaza Injili sehemu mbalimbali...

    YESU Pict
  3. Enzo Maresca: Ninajivunia kuwa kocha wa Estevao Willian

    Kocha wa Chelsea, Enzo Maresca amesema ana bahati kubwa kuwa kocha wa kijana mwenye kipaji Estevão Willian, baada ya chipukizi huyo kuonyesha kiwango bora zaidi tangu ajiunge na The Blues katika...

    ENZO Pict
  4. Kocha Liverpool afichua kilichomsibu Alexander Isak 

    Kocha wa Liverpool, Arne Slot amefichua sababu za mshambuliaji Alexander Isak kushindwa kuendelea na mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Eintracht Frankfurt ya Ujerumani iliyokubali kipigi...

    ISAK Pict
  5. Arsene Wenger aitabiria ubingwa Arsenal

    Aliyekuwa Kocha wa Arsenal, Arsène Wenger, amesema msimu huu 2025-2026 anaona tofauti kubwa kwenye kikosi cha klabu hiyo kinachoongozwa na kocha Mikel Arteta, na huenda mambo yakawanyookea kwa...

    ARSENAL Pict
  6. Jude Bellingham aizamisha Juventus Bernabéu

    Haikuwa mechi ya kuvutia sana, lakini nyimbo zilizotokea Santiago Bernabéu zilikuwa na ladha ya kipekee. Ilikuwa muda mrefu tangu mashabiki wa Real Madrid wapate nafasi ya kuimba “Hey Jude”, na...

  7. Vicario aiokoa Spurs kwa Monaco

    Kipa wa Tottenham Hotspur, Guglielmo Vicario, usiku wa Oktoba 22, 2025 alifanya kazi kubwa kwa kuizuia Monaco, huku kikosi cha Thomas Frank kikinusurika na kupata pointi moja ya Ligi ya Mabingwa.

  8. Vijana wa Chelsea waidhalilisha Ajax

    Chelsea imekuwa timu ya kwanza kwenye historia ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kuwa na wachezaji watatu vijana wenye umri chini ya miaka 20 waliofunga mabao katika mechi moja, baada ya kushinda 5–1...

  9. Ekitike afunga Liverpool ikimaliza ukame wa ushindi kwa kishindo

    Hugo Ekitike amefunga dhidi ya klabu yake ya zamani wakati Liverpool wakiukomesha mwenendo wao mbaya wa kupoteza mechi kwa kishindo, baada ya kutoka nyuma na kuicharaza Eintracht Frankfurt katika...

  10. Rekodi mbili zawekwa Bayern ikiikanda Clube Brugge

    Kuna rekodi mbili zimewekwa katika mechi ambayo Bayern Munich imeikanda Club Brugge mabao 4-0 iliyofanyika Allianz Arena, Ujerumani usiku wa Oktoba 22, 2025.

Previous

Page 339 of 855

Next