Kilimanjaro FF yashika nafasi ya tatu Ligi Daraja la Sita Sweden TIMU ya Kilimanjaro FF inayomilikiwa na kuendeshwa na Watanzania waishio nchini Sweden, imeshika nafasi ya tatu katika Ligi ya Daraja la Sita kwenye Jiji la Stockholm katika msimu wa 2024-2025...
Ruben Amorim: Sikuwa na hofu ya kufukuzwa kazi KOCHA wa Manchester United, Ruben Amorim amesisitiza hajawahi kuwa na hofu juu ya kufukuzwa kazi na tajiri na mmiliki wa timu hiyo, Sir Jim Ratcliffe na presha za kuondolewa kwake zilitoka kwa...
Kocha Manchester City hataki Haaland apumzike KOCHA wa Manchester City, Pep Guardiola amekiri anaumia sana kuona straika wake Erling Haaland akicheza mechi nyingi mfululizo, lakini hawezi kumpumzisha kwa sasa.
De Paul: Tuna deni la kulipa kwa Lionel Messi Kiungo wa Inter Miami, Rodrigo De Paul, amekiri kuwa hatua ya Lionel Messi kukubali kusaini mkataba mpya wa kuendelea kuitumikia klabu hiyo, imewapa hamasa wachezaji wengine klabuni hapo ili...
John Terry aiondoa Chelsea kwenye mbio za ubingwa England Nguli wa Chelsea, John Terry anaamini ukosefu wa uzoefu ndani ya kikosi cha sasa cha klabu hiyo huenda ikawa kikwazo kwa The Blues kuwa sehemu ya timu zitakazowania ubingwa wa Ligi ya EPL msimu...
Rais Barcelona ashtukia jambo, atupa kombora Real Madrid Rais wa Barcelona, Joan Laporta, ameishambulia klabu ya Real Madrid kwa madai ya kujaribu kuwatuhumu marefa kabla ya mechi ya El Clásico itakayopigwa leo Jumapili, Oktoba 26, 2025.
Safu ya ulinzi Liverpool yamchefua Alejandro Moreno Mchambuzi Alejandro Moreno, ametoa tathmini kali kuhusu mchezo wa Liverpool kufuatia kichapo cha mabao 3-2 dhidi ya Brentford, akimlenga Milos Kerkez kwa kukosa ushirikiano na beki mwenzake...
Chelsea yapigwa nyumbani SUNDERLAND imeiduwaza Chelsea uwanjani kwao Stamford Bridge baada ya kuichapa mabao 2-1 katika mchezo wa Ligi Kuu England uliofanyika Jumamosi.
Orlando Pirates yapindua meza, yang'oka Ligi ya Mabingwa Afrika LICHA ya kulipa kisasi dhidi ya FC Lupopo ya DR Congo kwa kupata ushindi wa mabao 3-0 jioni hii katika pambano la marudiano la raundi ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika, lakini vigogo hivyo vya...