Ratcliffe akataa dili la Robert Lewandowski MMILIKI mwenza wa Manchester United, Sir Jim Ratcliffe, ameripotiwa kuzuia mpango wa klabu hiyo kumsajili mshambuliaji mkongwe wa Barcelona na timu ya taifa ya Poland, Robert Lewandowski, 37...
Kylian Mbappe aingia anga za kibabe SUPASTAA, Kylian Mbappe ameingiza jina lake kwenye orodha ya mastaa matata kabisa waliowahi kucheza kwa viwango vya kibabe kwenye mechi za El Clasico.
Staa kasema... Huyu Ni Welbeck Mtupu! KWELI akutukanaye hakuchagulii tusi. Kuna gwiji mmoja wa Ligi Kuu England ameibuka na kudai straika Viktor Gyokeres yupo kwenye viwango sawa na Danny Welbeck na hastahili kuwekwa kwenye kundi la...
Mechi 5 zitakavyoamua vita ya Arsenal, Man City, Liverpool England WIKIENDI ilikuwa tamu kwa Arsenal ilipofufua matumaini yao ya kunyakua taji la Ligi Kuu England kwa mara ya kwanza tangu 2004.
Arteta: Mastaa wangu watatu wagonjwa KOCHA wa Arsenal, Mikel Arteta amethibitisha wachezaji wake watatu kupata majeraha kwenye mechi ya ushindi dhidi ya Crystal Palace kwenye Ligi Kuu England, jana Jumapili, Oktoba 26.
Vitendo vya Carvajal, Lamine vyamchukiza De Jong Kiungo wa Barcelona Frenkie de Jong amemkosoa beki wa pembeni wa Real Madrid, Dani Carvajal, kufuatia kitendo chake cha kumchokoza Lamine Yamal, baada ya mechi ya El Clasico jana Jumapili, Oktoba...
Lamine Yamal amejifunza kutokana na makosa yeke Maneno ya mshambuliaji wa Barcelona, Lamine Yamal kabla ya mechi ya El Clásico yalizua gumzo kubwa kuliko hata kiwango chake uwanjani, baada ya Barcelona kupoteza mechi hiyo na huenda kijana huyo...
FIFA yatangaza mashindano mapya Kusini-Mashariki mwa Asia Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu la Kimataifa (FIFA), Gianni Infantino, ametangaza kuanzishwa kwa mashindano mapya ya kandanda ya kanda yatakayohusisha nchi zote 11 za Kusini-Mashariki mwa Asia.
Gor Mahia yamuenzi Raila Odinga kwa ushindi mnono Gor Mahia imeichapa Posta Rangers mabao 3-0 kupitia Ben Stanley, Austin Odhiambo, na Felix Oluoch.
Okoth wa Mathare aiumiza Shabana Mshambuliaji wa Mathare United, Dennis Okoth, aliiumiza timu yake ya zamani Shabana FC baada ya kufunga bao pekee katika ushindi wa 1-0 katika mechi ya Ligi Kuu ya Soka Kenya (FKF Premier League)...