HAMASA-Robben na Ribery mihimili ya mataji huko Bayern KATIKA toleo lililopita kwenye kitabu cha Pep Confidential, mwandishi Marti Perarnau alianza mazungumzo yake na Ronald Reng, mtunzi maarufu wa vitabu ambaye aliwahi kuwa karibu na kocha Pep...
Miaka 10 Bayern imetwaa nusu ya mataji ya Ligi Kuu TOLEO lililopita kwenye Kitabu cha Pep Confidential, Mwandishi Marti Perarnau aliendelea na mahojiano yake na Mwenyekiti wa Bayern Munich, Karl-Heinz Rummenigge na safari hii mwenyekiti huyo...
Ligi ya Mabingwa, Shirikisho Afrika kuanza Agosti 12 Mashindano ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho Afika kwa msimu wa 2022/23 yataanza kutimua vumbi Agosti 12, 2022.
Wabunge wafunika jukwaa kuu Wakati mchezo wa Dodoma Jiji na Simba ukiendelea katika uwanja wa Jamhuri, wabunge wamekuwa sehemu kubwa ya watu waliofika hapo uwanjani.
Tanzania, Uganda na Kenya kuandaa Afcon 2027 Rasmi Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limepitisha mataifa ya Tanzania, Kenya na Uganda kuandaa michuano ya Afcon 2027. Nchi hizo ziliwasilisha ombi walilobatiza jina la Pamoja Bid na itakuwa...
Fernandes aifuata Manchester United Nahodha wa Sporting Lisbon ya Ureno, Bruno Fernandes ametua Manchester United kwa vipimo vya afya.
Jamaa Kigeugeu lakini pesa kibao KIGEUGEU ndiyo singo ya Jaguar inayotamba kila kona ya Kenya huku Waziri Mkuu, Raila Odinga akiwa shabiki wake mkubwa lakini msanii huyo ametaja vyanzo vyake vya utajiri.
Yvonne amkana kabisa Adebayor YVONNE Nelson amedai kuwa magazeti ya Ghana yanapotosha mashabiki na wala si kweli kwamba ana ujauzito wa mshambuliaji wa Totenham Emanuel Adebayor.
Majeraha yamtesa mshambuliaji ghali wa Singida United Mshambuliaji wa kimataifa wa Singida United, Danny Usengimana ameikosa mechi ya jana ya Singida United na Mbao FC jambo lililozua maswali kwa mashabiki wa timu hiyo.
Juventus yampiga marufuku Dani Alves kuanzisha mazungumzo ya kusajiliwa na Chelsea, Man City Klabu ya Juventus imemchimba mkwara mchezaji wake Dani Alves kwamba atalazimikiwa kujiuzulu iwapo ataanzisha mazungumzo ya kusajiliwa na klabu za Chelsea na Manchester City.