Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Tanzania, Uganda na Kenya kuandaa Afcon 2027

Rasmi Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limepitisha mataifa ya Tanzania, Kenya na Uganda kuandaa michuano ya Afcon 2027.

Nchi hizo ziliwasilisha ombi walilobatiza jina la Pamoja Bid na itakuwa mara ya kwanza ukanda wa Afrika Mashariki kuandaa michuano hiyo mikubwa ya soka Afrika.

Kamati ya Utendaji CAF imetangaza uamuzi huo nchini Misri leo, pia Morocco imechanguliwa kuandaa Afcon 2025.