Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Jamaa Kigeugeu lakini pesa kibao

MWANDISHI WETU KIGEUGEU ndiyo singo ya Jaguar inayotamba kila kona ya Kenya huku Waziri Mkuu, Raila Odinga akiwa shabiki wake mkubwa lakini msanii huyo ametaja vyanzo vyake vya utajiri. Msanii huyo ambaye katika siku za karibuni amekuwa akishiriki hafla mbalimbali za kuchangia misaada ya chakula kwa wahanga, alisema ana biashara nyingi lakini kubwa ni tatu. "Nina gereji za magari, gari za kukodi na kampuni za ulinzi,"alisema msanii huyo ambaye alidai kuwa huwa hatumii ulevi. "Nina biashara nyingi halafu kusota kumenifanya nijue kutunza fedha sana. Sina matumizi mabaya. Natumia siku tano kufanya biashara zangu shoo nafanya wikiendi."