Kaze ashauriwa kukaa na wachezaji STAA wa zamani wa Yanga, Ally Mayay amemshauri kocha Cedrick Kaze kuanzisha programu ya mchezaji mmojammoja ili kuinua viwango vyao alivyoviona vimeporomoka tofauti na mechi saba za nyuma. “Kaze...
Tatizo Yanga liko hapa MASHABIKI wa Yanga wanakumbana na vitisho vingi vya kuwarusha roho kutoka kwa wapinzani wao kuwa zama zao zimepita na kwamba hata pale kileleni mwa msimamo walipokaa wamewashikia Simba. Ni kweli...
Muda wowote Yanga kunatibuka KUNA taarifa ya kwamba huko Jangwani mambo sio shwaari, inaelezwa kwamba kuna manung’uniko ya chinichini baina ya viongozi wa klabu hiyo kwenda kwa GSM.
Huyu Morrison anavituko nyie! BAADA ya kuchwa kwa Benard Morrison katika msafara wa wachezaji 25 wa Simba ambao wameelekea Sudan kwa mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Merreikh SC, kumeibua kioja na kuanza...
VIDEO - Manara: Manula ameruhusiwa kutoka hospitali, ataanza mazoezi SIKU moja baada ya kipa wa Simba, Aishi Manula kuumia na kupoteza fahamu alipogongana na mchezaji wa JKT Tanzania kwenye mcho wa Ligi Kuu timu hizo zilipokutana jana katika Uwanja wa Mkapa jijini...
Lamine, Sarpong kumbe balaa LICHA ya Deus Kaseke kuwa kinara wa mabao wa Yanga akifunga sita, lakini nahodha wake, Lamine Moro na Michael Sarpong wamefunika kati ya nyota wa kigeni wanaokipiga Jangwani kwa kutupia nyavuni...
Bao la Luis Miquissone lamweka pabaya Pitso Ahly Kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa Simba, Jumanne iliyopita kimemuweka katika wakati mgumu kocha wa Al Ahly, Pitso Mosimane ndani ya klabu hiyo kikionekana kutouridhisha uongozi wa timu hiyo.
Man U, Arsenal zapangiwa vigogo Europa Manchester United na AC Milan zimekutana mara tatu tofauti katika mashindano ya Ulaya ambapo zote zilikuwa katika hatua ya nusu fainali na mara zote ilitupwa nje mashindanoni
Huyo Balama ndo basi tena! KIUNGO machachari wa Yanga, Mapinduzi Balama ni kama ameonyeshewa mlango wa kutokea kutokana na kupotezewa kimtindo baada ya kupewa matibabu ya kutosha.
Duh! Waarabu kuikomoa Simba WAARABU wamechukizwa na kipigo. Bao la kiungo mshambuliaji wa Simba, Luis Miquissone dhidi ya Al Ahly linaelezwa kwamba limewafanya mabosi wa klabu hiyo ya Misri kutaka kumng’oa Konde Boy.