Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

9355 results for Mwandishi Wetu :

  1. Kumbe Simba hawaiwezi Prisons

    TANZANIA Prisons imeendeleza ubabe wake kwa klabu ya Simba baada ya kushinda bao 1-0 mechi ya Ligi ya Vijana chini ya miaka 20 inayoendelea nchini. Bao hilo limefungwa Mwaka Mwakifuna dakika za...

  2. Nchimbi; mambo matano tangu afunge bao Ligi Kuu

    KAMA hujui ni kwamba leo Jumatatu ni siku 380 kamili tangu mshambuliaji wa Yanga na Taifa Stars, Ditram Nchimbi alipofunga mabao yake kwenye mechi za Ligi Kuu Bara. Ndio, kwani mara ya mwisho...

  3. Mfaransa rasmi Yanga

    KAZI imeisha. Ndivyo unavyoweza kusema baada ya mabosi wa Jangwani kuamua kwa pamoja kulipitisha jina la Mfaransa Hubert Velud kuwa Kocha Mkuu wao kuchukua mikoba ya Cedric Kaze, lakini wakimpa...

  4. Kaze: Simba wepesi tu, tatizo Chama, Luis

    KATIKA toleo la jana katika mahojiano maalumu na Cedric Kaze, aliyekuwa Kocha Mkuu wa Yanga aliyefurushwa wiki iliyopita, tuliona akianika kirusi kinachoitafuna timu hiyo ya...

  5. TuneCore kunufaisha wasanii Afrika Mashariki

    Kampuni ya usambazaji wa muziki kidigitali na kukusanya mirabaha ya wasanii huru, TuneCore imezindua shughuli zake katika nchi za Afrika Mashariki na barani Afrika kwa jumla. Tayari Jade Leaf...

  6. Benchi jipya Yanga moto

    MASHABIKI wa soka wa Yanga kwa sasa hawana wanachotaka kusikia zaidi ya kulijua jina la kocha mkuu mpya wa kuchukua nafasi ya Cedric Kaze aliyesitishiwa mkataba wake wiki iliyopita, lakini kazi...

  7. Kaze ataja kirusi ndani ya Yanga

    KOCHA aliyeachishwa kazi na Yanga wiki iliyopita, Cedric Kaze ameibuka hadharani kupitia Mwanaspoti na kueleza mambo mazito yaliyomkuta lakini akasema Kocha mpya ajaye (Hubert Velud raia wa...

  8. Kaze: Bila Saido, Yacouba ubingwa Yanga ni ngumu

    Dar es Salaam. Kocha aliyetemwa na Yanga, Cedric Kaze amesema bila wachezaji wawili wa kigeni, Saido Ntibazonkiza na Yacouba Sogne kurudi kwenye ubora wao, timu hiyo itakuwa na wakati...

  9. Bilionea huyu kuingoza CAF kuanzia Ijumaa

    Labda itokee miujiza! Kama mambo yatabakia kama yalivyo, bilionea wa Afrika Kusini kesho Ijumaa atachukua kiti cha urais wa mpira wa miguu barani Afrika, akianzisha safari mpya ya mageuzi ya...

  10. Kaze atimuliwa Yanga, benchi la ufundi lavunjwa

    BAADA ya kuanza vibaya kwa timu yao katika mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Bara, uongozi wa klabu ya Yanga usiku huu wa leo Machi 7 umeamua kulivunja benchi lake la ufundi likiongozwa na Kocha Mkuu...

Previous

Page 907 of 936

Next