Ester Bulaya; Sio ubunge tu, hata uwanjani yupo MBUNGE wa Bunda Mjini, Ester Bulaya, ni miongoni mwa wanawake viongozi wachache waliokua katika familia ya wazazi wapenda michezo.
NI HUZUNI: Vifo vilivyoshtua dunia mwaka 2025 MWAKA 2025 ni miongoni mwa miaka iliyobeba huzuni na mshtuko mkubwa kwa mashabiki wa michezo na burudani duniani. Huu ni mwaka ambao umeshuhudiwa baadhi ya mtukio makubwa ya kuhuzunisha ikiwemo...
Mabondia bora vijana wanaotamba 2025 ZIKIWA zimebaki siku chache kabla ya kumalizika kwa mwaka 2025, kuna orodha imetoka ya mabondia bora vijana chini ya umri wa miaka 25.
Kwaheri Maximo, hili halitasahaulika ADIOS Amigo. Adios Maximo. Ndiyo, huu ni msemo wa kihispania wenye maana ya kuagana na rafiki na ndivyo mashabiki wa soka wanavyomuaga rafiki yao. Kocha Marcio Maximo. Kocha huyo raia wa Brazili,...
Ivory Coast inavyokabiliwa na mtihani kuvunja rekodi ZIKIWA zimebaki siku chache kabla ya kuanza kwa fainali za Kombe la Dunia 2026 zitakazofanyika kwa mara ya kwanza katika mataifa matatu ya Marekani, Canada na Mexico, macho ya mashabiki wengi...
Miamba iliyocheza mechi nyingi Kombe la Dunia WASHINGTON, MAREKANI: FAINALI za Kombe la Dunia 2026 zimefshachezwa mechi tatu kwa kila timu hadi sasa. Lakini, nyuma ya fainali hizo kuna mastaa waliocheza mechi nyingi hadi sasa katika...
Mastaa Ulaya wapata tuhuma nzito Afrika Kuczynski, mwandishi wa kitabu cha uhakika ‘African marabouts in Paris’, alipata wateja wanaotoka katika wigo mpana wa kijamii, kutoka kwa wahamiaji wasio na vibali hadi wahitimu na walimu.
MZEE WA UPUPU: Kusuasua kwa Chelsea, nini hakiendi sawa darajani? MABINGWA wa klabu bingwa ya dunia, Chelsea FC, wanapitia moja ya nyakati ngumu zaidi ndani ya karne ya 21. Walimaliza msimu uliopita bila taji lolote. Klabu bingwa ya dunia ilikuwa kwa ajili ya...
MAKALA MAALUM: Anguko la TP Mazembe - 2 Katika toleo lililopita, tuliona historia ya klabu ya TP Mazembe kuanzia mwanzo wake, maana ya jina lake na mafanikio yake ya miaka ya 1960 na mwanzoni mwa miaka ya 1970. Leo tutaangalia anguko...