Syllersaid Mziray 'Super Coach' afariki MMOJA wa makocha wasaidizi wa timu ya Simba, Syllersaid Kahema Mziray 'Super Coach' amefariki.
Irine Uwoya agoma kuacha vimini IRINE Uwoya amesema hawezi kuacha kuvaa nguo fupi kwavile amezoea kufanya hivyo na hajaanza baada ya kuwa staa wa filamu.
Keisha: Sirudi ng'o Tip Top BAADA ya kupigwa 'stop' kutokanyaga Manzese ambako Kundi la Tip Top Connection limeweka makazi yake, mwanamuziki Keisha amesema kamwe hatarejea tena kundini humo.
AY na Banza watoa ujumbe mzito WANAMUZIKI maarufu nchini AY na Banzastone wamewaonya mashabiki kutofuata mkumbo katika kufanya maamuzi kwenye uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba.
Kocha wa Rwanda majaribuni Dar KOCHA wa Rwanda, Sellas Tetteh hana wasiwasi na kikosi chake lakini ametua Dar es Salaam na kikosi cha wanaume 18 akiamini kuwa mshambuliaji Mrisho Ngassa wa Taifa Stars ni majeruhi na hatacheza...
Echesa amuua shabiki Yanga SHABIKI maarufu wa Yanga mkoani Mtwara, Suleiman Hamis Kutoboa amefariki dunia jana Jumatatu asubuhi katika Hospitali ya Mkoa wa Mtwara Ligula baada ya kuanguka mara baada ya kiungo, Hillary...
Kocha mpya Yanga aibukia Simba SC KOCHA Msaidizi wa Yanga, Momo Medic kesho Jumapili atakuwa akiisoma Simba kwa mara ya kwanza itakapokuwa ikicheza na Lengthens ya Zimbabwe.
Kanoni matizi mwanzo mwisho BEKI wa Kulia wa Simba amesema yuko fiti sana sasa kutokana na mazoezi makali anayofanya na kuongeza juhudi kila mara.