Kanoni matizi mwanzo mwisho
Timu ya Taifa ya Wanawake ikijinoa kwenye Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam, timu hiyo inacheza na Ethiopia Machi 6 ugenini kuwania kufuzu fainali za Afrika kwa mwakani.
MWANDISHI WETU BEKI wa Kulia wa Simba amesema yuko fiti sana sasa kutokana na mazoezi makali anayofanya na kuongeza juhudi kila mara. "Hakuna kipya ni kuzingatia mazoezi tu nafanya sana mazoezi ndio maana matokeo yake yanaonekana uwanjani lakini mimi najiona niko sawa tu kama inavyokuwa siku zote,"alisema beki huyo wa Taifa Stars aliyejiunga Simba akitokea Bandari ya Mtwara.