Straika wa Msuva aja Yanga KIKOSI cha Yanga usiku wa jana kilikuwa uwanjani katika mechi yao ya mwisho ya michuano ya Kombe la Mapinduzi dhidi ya Namungo, lakini mabosi wao wanaendelea kukuna kichwa juu ya straika gani...
Azam FC yabanwa mbavu Mapinduzi Cup Azam FC imelazimishwa sare ya 0-0 na Mlandege FC ambayo imetoka kucheza mechi ya kwanza ya mashindano hayo jana Julai 6. Azam ndio walikuwa wa kwanza kupata bao kupitia mshambuliaji wao mpya...
Simba kuangukia kwa wababe hawa... Baada ya kufuzu hatua ya makundi Klabu ya Simba inasubiri droo itakayopangwa Januari 8, 2021 kujua wapinzania wao. Simba imefika hatua hiyo baada ya kushinda mabao 4-0 dhidi ya FC Platinum ya...
Derby ya Mji Mkongwe ZNZ hakuna mbabe Mechi kali ya derby Zanzibar inayozikutanisha timu za Mlandege FC dhidi ya Malindi FC imemalizika kwa sare ya 0-0 ikiwa ni mechi ya kundi B kwenye mashindano ya Mapinduzi Cup. Timu zote...
Ulimwengu aipeleka Mazembe makundi USHINDI wa mabao 2-1 walioupata TP Mazembe umetosha kusonga hatua ya makundi ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika ambapo mabao hayo yamefungwa na Mshambuliaji wa Kitanzania, Thomas...
Grammy yapigwa kalenda kisa Corona Mabadiliko hayo yametangazwa Rais wa wa jumuiya inayohusika na uandaaji wa tuzo hizo inayofahamika kama ‘The Recoring Academy’, Harvey Mason Jr, usiku wa kuamkia leo Januari 06, 2021
Paul wa P Square augua Corona Hali anayopitia Paul ambaye ni pacha mdogo iliwahi kumkumba kaka yake pia mwaka jana mwezi Juni ambapo yeye, familia yake (mke na mtoto) pamoja na wafanyakazi wake wawili wa ndani waligundulika...
Paul wa P Square augua Corona Hali anayopitia Paul ambaye ni pacha mdogo iliwahi kumkumba kaka yake pia mwaka jana mwezi Juni ambapo yeye, familia yake (mke na mtoto) pamoja na wafanyakazi wake wawili wa ndani waligundulika...
Yanga yaanza na sare Mapinduzi Cup, Kaze ashusha lawama kwa waamuzi Mechi ya kwanza kundi A ya Mapinduzi Cup 2020 yanayoendelea kufanyika Zanzibar imemalizika kwa Yanga kulazimishwa sare ya 0-0 dhidi ya Jamhuri. Mechi hiyo iliyokuwa na burudani za kutosha baada...
Kipigo cha 5-1 Dar chawaamsha Platinum KIPA wa FC Platinum ambaye pia ni nahodha, Petros Mhari amesisitiza kwamba kamwe hawawezi kurudia makosa kama ya kipindi cha pili waliyofanya dhidi ya Yanga mwaka 2015 kwenye meci ya Kombe la...