Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

8318 results for Mwandishi Wetu :

  1. Ulimwengu kalianzisha tena huko TP Mazembe

    NANI aliyekuambia Thomas Ulimwengu amefulia? Moto alioanza nao kwa sasa ndani ya TP Mazembe, umemfanya kocha wa timu hiyo, Kazembe Mihayo kukiri jamaa kwa sasa karudi upyaa na atawasumbua sana...

  2. Simba, Yanga ubabe ubabe

    Unguja. Si Yanga wala Simba aliyeweza kutikisa nyavu za mpinzani wake katika dakika 45 za kipindi cha kwanza kwenye fainali za Kombe la Mapinduzi zinazofanyika Uwanja wa Amaan kisiwani...

  3. Fainali ya maajabu, Yale ya Mapinduzi 2011 yanaweza kujirudia tena?

    SIKU 9 za kusisimua zilizoanikiza msimu wa 15 wa michuano ya Kombe la Mapinduzi 2021 zinahitimishwa usiku wa leo wakati utakapocheza mchezo wa fainali. Watani wa jadi wa soka la Tanzania, Simba...

  4. Majina ya mastaa Simba, Yanga yapigwa chini

    WAFANYABIASHA wameeleza kuacha kuandika majina ya mastaa wa soka nchini kutokana na kutotulia kwenye timu kwa muda mrefu hivyo wao kupata hasara katika mauzo. Majina ya mastaa ambayo hupenda...

  5. Dante aibuka upya Yanga  

    ALIYEKUWA beki wa Yanga, Andrew Vicent ‘Dante’ ameikalia kooni klabu hiyo baada ya kuweka wazi kwamba bado kuna sehemu ya pesa zake za usajili anaidai.

  6. Yanga yaitangulia Simba fainali Mapinduzi

    Ngoma ya kuamua nani acheze fainali za Kombe la Mapinduzi baina ya Yanga na Azam Fc ilikuwa ngumu hadi baada ya kuingia kwenye mikwaju ya penati kwani dakika 90 za awali timu hizo zilitoka sare...

  7. Kipa Azam: Kuna sehemu nimekosea

    KIPA wa Azam FC, David Kisu hakuitwa kwenye kikosi cha Taifa Stars na sasa hajawa chaguo la kwanza la Kocha George Lwandamina ambapo yeye amekiri kushuka kwa kiwango chake. Hiyo ndiyo sababu...

  8. Kaze afanya badiliko moja tu kuivaa Azam

    Kikosi cha Azam FC kilikuwa cha kwanza kuingia Uwanja wa Amaan kukabiliana na Yanga katika mechi ya nusu fainali ya Kombe la Mapinduzi huku Yanga ikiwa na badiliko moja la mchezaji kwenye kikosi...

  9. Mtibwa wavuliwa ubingwa, Simba na Yanga hawakutani nusu fainali

    Mtibwa Sugar jana Jumamosi ilivua rasmi taji lake la Kombe la Mapinduzi baada ya kukubali kichapo cha mabao 2-0 dhidi ya Simba huku Wekundu hao nao hawataweza kucheza nusu fainali na watani wao...

  10. Harmonize, Nandy kutumbuiza Mapinduzi Cup

    Wasanii wa muziki wa kizazi kipya Nandy na Harmonize wanatarajia kutoa burudani kwenye fainaliza za Kombe la Mapinduzi zinazotarajia kufanyika Januari 13 mwaka huu.

Previous

Page 810 of 832

Next