Simba wamalizana na kiungo Mcongo Baada ya dirisha dogo la usajili kufungwa Januari 15 , Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetoa orodha ya wachezaji wote waliosajiliwa na klabu mbalimbali hapa nchini. Katika usajili huo...
Carlinhos sasa rasmi SASA ni rasmi mshambuliaji wa Yanga, Carlos Carlinhos ameruhusiwa kuanza mazoezi ya pamoja na wachezaji wenzake mapema wiki ijayo baada ya kukaa nje kwa muda mrefu kutokana na majeraha ya paja.
Bocco hatahati, Nyoni atua Stars TAIFA Stars inatarajiwa kushuka uwanjani kesho Januari 19, 2020 usiku kuvaana na Zambia, huku nahodha wake, John Bocco akiwa katika hatihati kucheza mchezo huo, lakini beki mkongwe wa timu hiyo...
Kocha Simba kutajwa Dar es Salaam. Uongozi wa Simba umesema wiki hii utamtangaza rasmi mrithi wa Sven Vandenbroek pamoja na kocha wa makipa atakayechukua nafasi ya Muharami Mohamed. Simba inafanya mabadiliko kwenye...
Simba yafafanua sakata la FCC Dar es Salaam. Siku chache tangu Tume ya Ushindani (FCC) kutangaza kuanza kufanya uchunguzi wa mfumo mpya wa uendeshaji wa klabu ya Simba, inayowahusu wadaawa watano Bodi ya Wakurugenzi wa klabu...
Manyama aikacha Namungo DIRISHA dogo la usajili limefungwa rasmi huku beki Edward Charles akiachana na Namungo FC inayoshiriki michuano ya kimataifa ambapo amejiunga na Ruvu Shooting ya Pwani. Manyama ameichezea...
Mechi 3 za heshima Stars FAINALI za Chan zinaanza leo Januari 16 nchini Cameroon. Zitapigwa mechi mbili za kundi A. Moja saa 1 usiku mwenyeji Cameroon kukipiga na Zimbabwe. Saa 2 usiku Mali watacheza na Burkina Fasso.
Yanga yashusha straika Mrundi YANGA imefanya sapraizi ya dakika za lala salama za usajili wa Tanzania Bara baada ya kumalizana na straika Mrundi, Fiston Abdulrazak. Huo unakuwa usajili wa pili wa Kocha Cedrick Kaze raia wa...
Caf yalegeza kanunia za Corona CAF imesisitiza kwamba kanuni hizo mpya zimeanza kufanya kazi kuanzia Januari 15 mwaka huu.
FCC yaanza uchunguzi mabadiliko Simba Tume ya Ushindani (FCC) imeanza uchunguzi wa mfumo mpya wa uendeshaji wa klabu ya Simba ambao inawahusu wadaawa watano.